Aliyewahi kuwa mchumba wangu wa kwanza kuniacha na kukimbilia kuwa na mume wa mtu ilinichukua takriban mwaka mzima kuumia na kusahau tukio lile. Niligundua kuwa kweli nimeamua kuendelea na maisha yangu (move on) baada ya yeye kurejea kwangu kuomba nimsamehe turudiane tuendelee na mapenzi yetu kama zamani lakini cha ajabu hata nilipojaribu kukaa nae faragha sikupata msisimko wa aina yeyote ile wa kimapenzi juu yake kwa zaidi ya mara tatu au nne kwa nyakati tofauti tofauti badala yake nikawa naishia kuuweka tu mkono pale central
Wewe utakuwa na tatizo la usahaulifu kwa ujumla, yaani unaweza pia ambiwa ulete kijiko ulafu unaleta kisu, au sahani, au usilete kitu kabisa si umesahau,
Wewe utakuwa na tatizo la usahaulifu kwa ujumla, yaani unaweza pia ambiwa ulete kijiko ulafu unaleta kisu, au sahani, au usilete kitu kabisa si umesahau,