Faru Fausta, ambaye anaaminika kuwa ndiye Faru Mzee zaidi duniani amekufa akiwa na miaka 57

Majangili hao wanatoka nchi za nje au wanatoka wapi?
Majangili mnawafuga wenyewe
Taratibu za mazishi zinasubiri Mzee amalize mapumziko ya Mwisho wa mwaka tujue kama ataweza kuhudhuria au vinginevyo maana bila ya juhudi zake huyu Faru angeshauliwa mapema sana na Majangili


Kifo cha kawaida cha Faru Fausta ni ishara ya uwajibikaji na juhudi ya awamu ya Tano otherwise angeuwawa na Majangili zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unaleta uvivu wa kusoma mkuu, soma uzi pia huyu fausta alikuwa maarufu kitambo sana hukuwahi pata taarifa zake?

Unatakiwa ujue kitu kimoja, tukishauliza maswali ndipo mods au muhusika wanaedit kuondoa hiyo sintofahamu!

Ame edit kuongeza nyama lakini awali haikuwa na taarifa hizo zote
 
Sijaona logic ya kufanya kifo cha huyo Faru Fausta kuripotiwa.

Kwani ni Faru wangapi wanakufa/ kuuwawa kwa siku? What is so special on this 🦏?
Kwani watu hawajui maana ya Food chain inayotawala Mbugani?
Damn!!
 
Back
Top Bottom