Farasi angekuwa profesa....

Farasi angekuwa profesa....

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
407
Reaction score
75
Ama kweli watoto wa sasa hawana adabu kwa wazee wao. Ilitokea baba na mtoto kufarakana katika mazungumzo ambayo yalikuwa kama ifuatavyo:
Baba: Mbona unafeli kila mtihani mwanangu?
Mtoto:Sababu sina akili
Baba:Sasa ngoja nikupige fimbo ili uwe an akili
Mtoto:Ingekuwa fimbo ndio humfanya mtu kuwa na akili basi Farasi angekuwa PROFESA.
 
dogo ana akili sema akiacha kula ndum atakua fresh
 
Mwambie uyo dingi ayo ndo matokeo ya ganja zake pindi yukijana w
 
Na wewe mwenyewe uliyeleta huu uzi umekosea maana hakuna uhusiano baina ya Farasi na fimbo, labda ungesema Punda.
 
Ama kweli watoto wa sasa hawana adabu kwa wazee wao. Ilitokea baba na mtoto kufarakana katika mazungumzo ambayo yalikuwa kama ifuatavyo:
Baba: Mbona unafeli kila mtihani mwanangu?
Mtoto:Sababu sina akili
Baba:Sasa ngoja nikupige fimbo ili uwe an akili
Mtoto:Ingekuwa fimbo ndio humfanya mtu kuwa na akili basi Farasi angekuwa PROFESA.

huyu dogo kweli kilaza inaamana farasi nae ni mtu??????......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom