Fanuel Sedekia ni marehemu!

Misa ya kumwaga ndugu yetu Fanueli Sedekia inafanyika wakati huu katika uwanja wa mpira Shekh Amri Abeid stadium.Marehemu Sedekia anatarajiwa kuzikwa leo mchana katika makaburi ya Njiro jijini Arusha.
 
Nimepita uwanja wa Sheikh Amri Abeid watu wamejaa na bado wanazidi kufurika
RIP Fanuel Sedekia
 
&p=131


Mwenyenzi Mungu akuweke pema peponi.
AMINA
 
Kuna habari kuwa zaidi ya mazishi ya Mwl Nyerere hakujawahi tokea mazishi mengine yenye watu wengi kama haya
 
Ninakumbuka siku moja nilikutana na Fanuel Sedekia kule Moshi akiwa kwenye Praise and Worship iliyofanyika katika usharika wa Moshi Mjini.

He sung so inspiringly!!!

MAY GOD REST HIS SOUL IN PEACE
 
Last edited:
Kuna habari kuwa zaidi ya mazishi ya Mwl Nyerere hakujawahi tokea mazishi mengine yenye watu wengi kama haya
Kwa hapa Arusha sijawahi kuona umati mkubwa namna hii ni zaidi ya mechi ya Simba na Yanga hapo Dar
 
RIP... mbele yetu, nyuma yake. Nawapa pole wafiwa.

Kwenda kuhubiri Ukristo kwa watu ambao mababu zao walimkana na kumsulubu Kristo, tena huku wakiapa kuwa damu yake iwe juu yao na vizazi vyao... Nilichojifunza, kuna kazi zinahitaji wito na moyo wa kujituma
Bwana alitoa, Bwana ametwaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom