nakulamadafu
Member
- Apr 6, 2011
- 10
- 0
Mie nimeolewa miaka yapata 10-liyopita,tunaishi na mwenzangu kwa raha na amani,ingawa yapo matatizo kidogokidogo na huwa tunayamudu.Mme wangu huwa anapenda sana kutiwa vidole kwenye tigo na yeye pia anapenda kunitia vidole kwenye tigo na huwa ananusa hicho kidole na mie kanifunza nikimtia namwekea kidole anakinusa na anasikia raha sana,sasa nikamwuliza hii ni nini akaniambia eti ni fantasy yake,sasa jamani huyu jamaa anaweza kuwa shoga?