Families That Secretly Control The World

Doomsday conspiracy, simply a myth, nobody control nobody, get back to your senses work hard and do what you get to do.
Do you know the secrets of the world?Unaweza kunieleza kwanini kuna baadhi ya teknolojia wanazizuia?
Magari yanayotumia maji na solar yamegunduliwa miaka mingi iliyopita, unaweza kuniambia kwanini mpaka leo tunatumia magari ya mafuta ambayo visima vyake vinamilikiwa na makampuni makubwa tu?

Unaweza kuniambia kwanini serikali zipo against sana na tiba za asili,umewahi kumsikia Dr.Sebi aliyegundua tiba ya magonjwa yote?Wazungu hawakuamini na walipompeleka mahakamani akawashinda kwa proof ya watu aliowatibu ambao rekodi zao zilikuwepo mahospitalini kuwa ni wagonjwa, lakini baada ya kupata matibabu kutoka kwa Dr.Sebi wakapona.Mahakama ya Marekani ilithibitisha kuwa wamepona baada ya kupata matibabu ya Dr.Sebi na kumwachia huru. kulikuwa kuna wagonjwa wa ukimwi,hepatitis,kansa,vipofu wa macho katika watu waliotibiwa na Dr.Sebi .

Je unajua kuwa walimuua baada ya kuanza kujitokeza sana kwenye media na akawa ashapata sponsors watakaomsaidia kuja kufungua research institute hapa Afrika?Na unajua kwanini Michael Jackson aliimba wimbo wa "they dont really care about us" nae hakukaa sana wakamuua kwani alikuwa mmoja wa watu waliokua wanataka kumsponsor Dr.Sebi.Unaweza kunijibu kwanini hawatangazi watu kama hao?

Unaweza kuniambia kwanini imani za kale zinapigwa vita?je unaamini hizi imani ni ushamba tu na zimepitwa na wakati.kwahiyo wanatupenda sana na lengo lao ni kutuokoa tusiende motoni?Na kama hakuna control kwanini kuweka sheria ya uchawi?si wangetuacha tu tuwe huru kufanya tunavyotaka tushi katika ushamba wetu ?

Sheria kwa definition ya elimu yetu mbadala ambayo haijafungwa kwenye system maana yake ni mipaka ya kumdhibiti mtu asifanye anavyotaka na anavyoona ni haki.Na kuna vyombo vimewekwa ili kuhakikisha unatii sheria bila shuruti mfano ni Mapolisi

Mapolisi ni nani?katika definition yetu ya elimu mbadala ambayo haijafungwa katika system, mapolisi ni kikundi cha wahuni waliopewa kibali na serikali kufanya uhuni wao ili kuhakikisha watu wanadhibitiwa wasiende kinyume na maslahi ya system ambayo ipo ndani ya sheria.

Unaweza kuniambia kwanini nchi zisizofuata siasa za capitalism zinapigwa vita?North Korea,Iran,Cuba,Venezuela ya Hugo Chavez, Zimbabwe(kisa cha Zimbabwe ni kutaka kutaifisha mali za mabepari na kuwagaia wananchi masikini,hii haiendani na capitalism) nk

Naomba uelewe vita sio lazima iwe ya kijeshi hata vya kiuchumi au kutengwa na jamii zingine nazo ni vita lengo ni kukudhibiti ili uingie kwenye control yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother from another mother, don't waste your time living to dream those kinds of myths. Life has never been fair to nobody. Stop wasting your precious time in conspiracy theories there are plenty of them in almost everything. Kwanini sisi waafrika ni weusi kuna mtu katufanya weusi na blah blah kama hizo, kwanini kuna ukimwi na kaswende lazima kuna mtu anahusika nakadhalika nakadhalika that is what we call witch hunting. Nobody can stop you to be where you want to be. Put yourself together and pursue your dreams forget about those myths.
 
So i have dreams and you too have dreams,hivi zimetoka wapi?hivi unaamini kuna mwanzo katika kila kitu au ni coincidence tu.Then whats life and why pursue your dreams?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So i have dreams and you too have dreams,hivi zimetoka wapi?hivi unaamini kuna mwanzo katika kila kitu au ni coincidence tu.Then whats life and why pursue your dreams?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ni mlundikano wa dhana mbali mbali kila mmoja wetu akijaribu kufuata dhana fulani kwa lengo la kufikia utoshelevu fulani ambao anaamini anaweza kuupata. Mwisho wa siku hayupo mtu aliyewahi kuridhika na yale aliyoweza kuyafikia, ikiwa ni utajiri, elimu au madaraka. Maisha yetu yanatufanya tutake zaidi na kudhani utoshelevu unaletwa na kupata zaidi. Basi pale panapotekea vikwazo katika njia zetu hapo ndipo tunapotafuta anayetukwaza bila kujali kwamba kikwazo cha kwanza ni sisi wenyewe. Kwa minaajili hiyo basi, hizo hadithi na imani hasi ulizonazo kuhusu hao watu au vikundi vya watu ni dhana dhaifu za kusadikika. Nakubali kuna jitihada za kimkakati na kipropaganda katika baadhi ya nchi na jamii fulani kuendeleza tamaduni, dini na fikra zao kwa watu wengine. Jitihada hizo hazikuondolei au hazituondolei uwezo wakutambua hizo njama na kuchukua hatua stahiki kama mtu au kama kikundi au kama taifa. Ipo mifano ya watu au mataifa yaliyokataa mambo fulani yanaoenda kinyume na mila na tamaduni zao kwa mfano Tanzania tumekataa ushoga na makinikia kwa nguvu zote japo akina delicioous wanatuangusha lakini issue ya makinikia tunaenda kuweka historia duniani (kwa mema lakini). Hao watu unaosema wanatawala wenzao hapa dunia wako wapi kutuadhibu kwa maamuzi yetu magumu?
 
Asante kwa maelezo yako na kukubali kuwa kuna dhana(theories) mbalimbali dunian na kuna watu,jamii au vikundi vinavyojaribu kuwafanya wengine wafuate dhana zao.hiyo tu ni njia mojawapo ya kukutawala.

kutawaliwa sio lazima mtu atumie mabavu kama kipindi cha colonialism,kuna mbinu mpya inaitwa neo colonialism na ya kisasa zaidi inaitwa globalisation.

Je unaamini kuwa kulikua kuna ukoloni?Kama huamini basi utanishangaza sana.Na je unadhani wazee wetu hawakujua kama wanatawaliwa? Na kama walijua Mbona iliwachukua muda mrefu sana kujingatua ndani ya makucha ya mkoloni kama unadhani ni jambo jepesi na la kufikirika zaidi?

Haya tuje kipindi hiki unadhani mkoloni alituachia tu kirahisi tuishi tunavyotaka?Na kama tupo huru kwanini basi tunafuata masharti yao ya namna ya kuendesha nchi zetu zilizo huru?

My brother from another mama Usijidanganye upo huru 100 % kuna dhana njama(conspiracy theories) zipo tele ,na mbona watu kibao wameandika kuhusu neo colonialism na njia zao za kututawala na kutucontrol.

Kuhusu Hayo makinikia usijidanganye kuwa tutalipwa hizo dola bilioni 190 tunazowadai.wakishindwa kukubaliana watakuja na mbinu mpya,sasa hivi wanatupima kwenye mzani kwa hoja kama tumeamka, wakigundua tumeamka watakuja na mbinu nyingine,hawakurupukagi hawa watu kama sisi.They always make plan ahead.wait and see

me nadhani wamekuelewa,kama bado wanabisha basi wana kiburi cha asili
 
Sometime nacomfirm kwa kumind my own business and life.........ila cjajifunga kupata ufahamu juu ya vitu mbali mbali hapa duniani.
 
Eti serikali inakupangia ulale sa ngapi,asee hiki ni nini unajaribu kutuambia hapa,mi nikikesha leo usiku serikali ama powerful person yupi amenipangia kitu ama mda wa kulala??..
Scope ya kuishiii?dude plssss...death is a natural process ama hilo hulijui
Hahaha Haya mambo sio logic tu haitoshii...u need to read and read,history present and future prospects.... Driving forces zipi mbona kama unafunika funika vitu hueleweki...
Ishu ya origin of states haijaanzia leo eti,tangu zama za Yesu kuna Roman empire,Egyptian Pharaohs et al utawala kwa binadamu haujaanza leo wala kwa familia hizi za juzi tu 18th Century
Mana kama mnaona mtu akiwa wealthy anakontroo watu basi Tanzania Bakhresa na Mengi wanatukontroo sioo...hehehheh
Km vitu hamvielewi msipotoshe tu umma jmn
Hahahah mkuu napenda majibu yako umewashushua, hawakujiandaa hawa.
Mtu anasema unapangiwa mda wa kulala wakati tumeona mtu anasoma hadi anakesha. Hivi leo hii mtu uamue kukesha kufanya kazi zako hivi serikali inakuingilia?? Dar watu wanakesha kutafuta pesa nao serikali imelazimisha wakalale??
Kuna vitu naona wanachanganya hawa jamaa, yako baadhi ya mambo au taratibu zimewekwa kwa ustawi wa binadamu mwenyewe aidha kwa usalama wake kiafya, kiakili na kifikra lakini haulazimishwi. Mwishowe uje useme alama za barabarani baadhi ya familia zimeamua tu kutuchorea ili kutucontrol.

Acha tu mkuu,Majibu mengine yalikua yanashangaza sanaa ..
 
Do you know the secrets of the world?Unaweza kunieleza kwanini kuna baadhi ya teknolojia wanazizuia?
Magari yanayotumia maji na solar yamegunduliwa miaka mingi iliyopita, unaweza kuniambia kwanini mpaka leo tunatumia magari ya mafuta ambayo visima vyake vinamilikiwa na makampuni makubwa tu?

Unaweza kuniambia kwanini serikali zipo against sana na tiba za asili,umewahi kumsikia Dr.Sebi aliyegundua tiba ya magonjwa yote?Wazungu hawakuamini na walipompeleka mahakamani akawashinda kwa proof ya watu aliowatibu ambao rekodi zao zilikuwepo mahospitalini kuwa ni wagonjwa, lakini baada ya kupata matibabu kutoka kwa Dr.Sebi wakapona.Mahakama ya Marekani ilithibitisha kuwa wamepona baada ya kupata matibabu ya Dr.Sebi na kumwachia huru. kulikuwa kuna wagonjwa wa ukimwi,hepatitis,kansa,vipofu wa macho katika watu waliotibiwa na Dr.Sebi .

Je unajua kuwa walimuua baada ya kuanza kujitokeza sana kwenye media na akawa ashapata sponsors watakaomsaidia kuja kufungua research institute hapa Afrika?Na unajua kwanini Michael Jackson aliimba wimbo wa "they dont really care about us" nae hakukaa sana wakamuua kwani alikuwa mmoja wa watu waliokua wanataka kumsponsor Dr.Sebi.Unaweza kunijibu kwanini hawatangazi watu kama hao?

Unaweza kuniambia kwanini imani za kale zinapigwa vita?je unaamini hizi imani ni ushamba tu na zimepitwa na wakati.kwahiyo wanatupenda sana na lengo lao ni kutuokoa tusiende motoni?Na kama hakuna control kwanini kuweka sheria ya uchawi?si wangetuacha tu tuwe huru kufanya tunavyotaka tushi katika ushamba wetu ?

Sheria kwa definition ya elimu yetu mbadala ambayo haijafungwa kwenye system maana yake ni mipaka ya kumdhibiti mtu asifanye anavyotaka na anavyoona ni haki.Na kuna vyombo vimewekwa ili kuhakikisha unatii sheria bila shuruti mfano ni Mapolisi

Mapolisi ni nani?katika definition yetu ya elimu mbadala ambayo haijafungwa katika system, mapolisi ni kikundi cha wahuni waliopewa kibali na serikali kufanya uhuni wao ili kuhakikisha watu wanadhibitiwa wasiende kinyume na maslahi ya system ambayo ipo ndani ya sheria.

Unaweza kuniambia kwanini nchi zisizofuata siasa za capitalism zinapigwa vita?North Korea,Iran,Cuba,Libya ya GhaddafiVenezuela ya Hugo Chavez, Zimbabwe(kisa cha Zimbabwe ni kutaka kutaifisha mali za mabepari na kuwagaia wananchi masikini,hii haiendani na capitalism) nk

Naomba uelewe vita sio lazima iwe ya kijeshi hata vya kiuchumi au kutengwa na jamii zingine nazo ni vita lengo ni kukudhibiti ili uingie kwenye control yao.

Je Unaweza kuniambia sababu za kumuua Kanali Muammar Ghadafi?kisa ni kutaka kuunganisha Afrika iwe nchi kama USA na kuhama katika mfumo wa kutumia Dollar.Kama hawataki kutucontrol unaweza kunipa sababu ya kumuua Ghaddafi?

Naomba niishie hapa nikupe nafasi ya kujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu umeniongezea kitu on my mind....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na mleta thread;
Tatizo watu humu ndani wanaangalia vitu vidogo sana. Eti kujiamlia kwenda kwenye starehe ni uhuru, pyuuuu!
Wapinga hii thread. yaani wewe mpingaji ni mafanikio ya Elimu fake, na mbovu walokupatia, ya kukariri, kariri tu, walivofanya wao ndiyo unayo pata ni ya kukufanya uwatumikie wao na uishi bila kujua kuwa wanakunyoya. Better slave, is the one who doesn't know that he's a Slave.

Wewe hukustahili kuishi kama unavoishi hapo Magomeni, Masaki, Mbagalla- kibonde Maji, na kamshahara hako. wewe ni zaidi ya huo mshahara na maisha hayo but hujui.

mfano mdogo tu nakupa,

wasomi wengi weusi, hawajui matumizi ya dhahabu, Diamond, Tanzanite ni nini! zaidi ya kutengeneza pete. Kwanza jiulize nchi gani Africa ina nunua Mdini tajwa/ dhahabu?

Pembe za ndovu/, Almas zetu kama zile za Mwadui, Mafuta Nigeria, ni nani, wanachimba, wanatupatia Bei kama siyo wao? na Zinanunuliwa wapi na kufanyiwa nini hapa Africa? Elimu ya kutumia vito vya madini yeyote yale, kwenda anga za juu, matumizi ya uranium, kutengeneza silaha hatari, kujua tu kuwa unanyonywa, hutakaa uipate, wala kuivumbua kwa akili zako za drasa unalopewa.

japo tuna Mi-proffesor miiingi isiyo idadi? hawafanyi kitu chochote sababu elimu yao ni mbovu, ya kukariri vitabu!
Watoto wao, yaani watawala wa kesho, wanapata Mysterious knowledge ktk vyuo adimu kama Yale, Oxford,Cambridge, Universities nk.
Mweusi ukitokea umesoma hapa jiandae kuwatumikia, tena usikwepe wala kuuliza. kama unabisha angalia vibaraka wabishi yalo wapata km, JF Kennedy, Princess Diana, Savimbi wa Angola. Noriega, Osama nk.

Mwafrica ikitokea Ukiwa mjanja saana wa kuwakomboa wenzako, utafia kusiko julikana, tena bila sababu za wazi, zisizo taka akili za UDSM. labda uwe kibaraka mtiifu,ujiunge nao. mifano ya wa-Africa waliokatishwa maisha ili kuwakomboa wenzao ni mingi sana!
Gadadafi,
Nkurumah,
Lumumba,
Murtala Muhamad,
Mariam Ngwabi,
Suka Buka Dimka,
Thom Mboya,
Dedan Kimathi nk.
Hawa waliwakosea nini hao shadow World government? fanya akili iwe nyepesi kuchungulia Dunia, siyo majaliwa ni wewe tu.
 
Back
Top Bottom