View attachment 992399
Binti Raia wa Saudia Rahaf Mohammed Alqunun (18) ambae alikimbilia nchini Thailand akihofia kuuawa na familia yake baada ya kujitoa kwenye dini ya Kiislamu amepatiwa hifadhi na Serikali ya Canada nchini humo.
Sasa hako ka Moja tuu! Msikilizenni gwajiiima kwa makundi huko ulimwenguni hadi inampata hofu ya isYule mbibi faiza foxy aje ajionee mambo huku.
Hahah ndio mada anazopendaga yeye mwenyewe.Hahahaha mnamsakama huyo mdada
Anzisha mada ya Gwajima nije ni comment mkuu.Sasa hako ka Moja tuu! Msikilizenni gwajiiima kwa makundi huko ulimwenguni hadi inampata hofu ya is
This is personal attack , hivi dada wa watu anajisikiaje kwa shutuma zenu ?Yule mbibi faiza foxy aje ajionee mambo huku.
Huyo upo uzi wake hapa hapa JF tumeshaweka comments zetu.Tunashukuru Canada imempa hifadhi binti huyu jasiri.
Najua ujasiri wa binti huyu ni habari mbaya kwa FaizaFoxy
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe mwarabu, mbona muislam?Huyo upo uzi wake hapa hapa JF tumeshaweka comments zetu.
Hata sura yake inaonesha huyo ni mhindi na si Msaudi, kacheza game huyo apate ukimbizi na hifadhi.
Cheza na wadosi akili kubwa.
Hiyo game mbona inachezwa sana na wadosi.
Hueleweki, jipange upya kisha urudi.