maringeni
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,198
- 3,888
Figo si arudi hapa bongo? Ni chini ya 400,000 kwa wiki na sio siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Claud 360 ukiomba wanakupaNamba ipo wapi nichangie!?
Ruge kalifanyia makubwa sana taifa hili.
Ndio ujue dunia hiiiIla binadamu wabaya sana, wanawezaje kumchaji mtu kiasi kikubwa namna hiyo cha pesa!! ikimaanisha kama mtu hana na hana wakumchangia ndio anadanji hivyo kirahisi kabisa hiari madaktari wanaweza kumtibu na kudai ela baadae akipona!!
Bima ya nje ipo acha uongo ukisafiri kwenda nje muulize ajenti wako wa kukata tiketi atakukatia bima ya afya ukitaka uondoke nayo pia kampuni za Bima za afya zote zina bima ya matibabu nje ya nchi ni mfuko wako tu .Wanakukatia Bila shidabima ya afya haitibu nje ya nchi mkuu.. hata hao viongozi wanaopelekwa apollo.. kule serikali inalipa cash
Bima ya nje ipo acha uongo ukisafiri kwenda nje muulize ajenti wako wa kukata tiketi atakukatia bima ya afya ukitaka uondoke nayo pia kampuni za Bima za afya zote zina bima ya matibabu nje ya nchi ni mfuko wako tu .Wanakukatia Bila shida
INA KUWA KAMA KUMWAMBIA MWENYE JIBU LAKE KICHWANI HIYO PROCESS NDIO...sahihi na some selected hospitals in DAR KWA MFANO,KWA KAIRUKI...SANITAS....REGENCY....NKweka ushahidi.. wa bima ambazo zinatubu nje ya nchi.. mfano nhif ambayo wafanyakazi wote wa serikali na mashirika ya uma na mawaziri wanaitumia.. ni package ipi inakutibu nje ya nchi kwa kadi yako tu.. weka facts. na link za ushahidi.. sio bla bla
AAR na kampuni ya Jubilee insurance ni Moja ya kampuni zinatoa hiyo bima ya matibabu nje ya nchiweka ushahidi.. wa bima ambazo zinatubu nje ya nchi.. mfano nhif ambayo wafanyakazi wote wa serikali na mashirika ya uma na mawaziri wanaitumia.. ni package ipi inakutibu nje ya nchi kwa kadi yako tu.. weka facts. na link za ushahidi.. sio bla bla
AAR na kampuni ya Jubilee insurance ni Moja ya kampuni zinatoa hiyo bima ya matibabu nje ya nchi
Humaanishi kua amekosa wakati familia inapitisha bakuli!Kaka Kumchangia mtu ni kuonyesha upendo, Kwa aliyofanyia tasnia ya kizazi cha bongo fleva ndio maana nimetoa wazo la tamasha haimaanishi kwamba Ruge amekosa matibabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
INA KUWA KAMA KUMWAMBIA MWENYE JIBU LAKE KICHWANI HIYO PROCESS NDIO...sahihi na some selected hospitals in DAR KWA MFANO,KWA KAIRUKI...SANITAS....REGENCY....NK
Refferel ni Muhimbili,Bugando na KCMC baada ya hapo kama kuna haja BROTHER UNAPELEKWA NJE YA NCHI.....visit NHIF for details if u don't believe this forum here or MMC nk
Mimi sio marketing officer wa AAR na siwezi Toa Siri ya mtu aliyetibiwa ugonjwa ni siri ya mtu.Nenda ofisini kwao watakupa details zote.Ila bima ya kusini wagonjwa nje ya nchi wanayo.Ukisafiri nje mfano ukitaka bima hata Reliance insurance Wanakukatia hiyo bima.Bima zipo kampuni hizo wasiliana nazotatizo ni moja.. unapenda kutoa majibu juu.. weka facts.. mfano aar wana package hii ambayo ukienda, south, india au ujerumani.. hospitali unawapa kadi yako tu unapata matibabu..
siku hizi kila kitu kipo online.. weka link na ushahidi nani alienda nje na kadi ya aar akatibiwa.. au weka link ya package.. ku prove hoja yako...
penda sana kujenga hoja kwa facts
Mimi sio marketing officer wa AAR na siwezi Toa Siri ya mtu aliyetibiwa ugonjwa ni siri ya mtu.Nenda ofisini kwao watakupa details zote.Ila bima ya kusini wagonjwa nje ya nchi wanayo.Ukisafiri nje mfano ukitaka bima hata Reliance insurance Wanakukatia hiyo bima.Bima zipo kampuni hizo wasiliana nazo
Nisaidie fact za bima ya afya inavyofanya kazi nje mfano umekata bima ya afya Tanzania ya thamani ya matibabu ya milioni 100.Ukaanza kutibiwa Tanzania kwa matibabu ya thamani ya shilingi milioni 60.Ghafla ukatakiwa kwenda kutibiwa nje bima itaendelea kulipa gharama zinazofikia kiasi cha milioni 40 tu .Sasa wengi huenda referral nje ya nchi wakiwa wamemaliza pesa za bima zao hivyo bima haiwezi gharamia .Pia bima za nje ni ghali wakata bima wengi hukata bima local kuwa ahhh ni ugonjwa gani unitese nilipe bima kubwa ya kutibiwa nje wakati Tanzania kuna mihospitali kibao na ya rufaa yenye madaktari bingwa nakata bima ya hela ndogo ya hapa hapa nchini.Akiugua ugonjwa wa kumpeleka nje ya nchi lazima aende na maburungutu ya pesa cash.