Familia ya Nyerere gizani

Familia ya Nyerere gizani

Ndio maana ccm mnaambiwaga hamshirikishi ubongo
Kwahiyo umeshirikisha ubongo ukajua mm ccm eeh! Ninyi ndio mnafanya wapenda mageuzi tuitwe maloofa!!
ushauri naokupa ni usikosoe kilajambo,don't act derogatorly...hasa kumhusu marehemu aliyeipigania haki na heshma ya mtu mweusi. Najua unaakili nyingi sasa pambana na tembo lkn baba wa taifa na familia yake mjifunze kuistahi.thats it Bra!!!
 
I did not forget anything. The comment was deliberately and was not meant for you or anybody specifically. I fail to understand why you were touched!?
Then why on earth did you post?
 
Inawezekana nao ni wahanga wa tamko la kurudisha posho za kwenda Simiyu
 
Each one has the right to his opinion, and both may be right. Enjoy your day.
I thought it's over, And I had given up!!

Ok sir, so why are you trying to infringe my rights to give my opinion!??
 
Mkuu Mwanahabari Huru, hili ni bandiko la uchonganishi ni sawa na uchochezi. Kualikwa kwa Mama Maria kulikuwa ni favour tuu, sasa hiyo favour unataka kuifanya ni right! .
Pasco

Pasco tangu utoke Mirembe-Dodoma bado uja-recover vizuri. Hivi hii ilikuwa favour?
 
hizo ni pumba kufanya kumbukumbu ya Nyerere bila mwakilishi kutoka kwenye familia ni aibu lazima kuna tatizo sehemu
Mkuu Mwanahabari Huru, hili ni bandiko la uchonganishi ni sawa na uchochezi. Kualikwa kwa Mama Maria kulikuwa ni favour tuu, sasa hiyo favour unataka kuifanya ni right! .
Pasco
 
Pasco tangu utoke Mirembe-Dodoma bado uja-recover vizuri. Hivi hii ilikuwa favour?
Na kwa vile jana ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
Pascal, Magufuri ninamwelewa kwa miradi ya kimkakati na alivyo deal na corona. Lkn simwelewi anavyo deal na upinzani yeye na wateule wake.

Angewaruhusu waseme, wamkosoe yeye atekeleze wanachosema. Badala yake ametuma watu wake kuteka, kupiga, kuhujumu, na kunyanyasa wapinzani. Mimi hili limenirejesha kuipigia kura chadema.

Kwa manyanyaso anayoyafanya dhidi ya Lissu, yeye na wasaidizi wake wana mpromote Lissu vibaya. Utaona tar 28

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
eo April 13, ni siku ya kumbukumbu ya miaka 100 ya kuzaliwa Kwa muasisi wa Taifa Letu, Tanzania.

Najiunga na Watanzania wenzangu kuadhimisha siku hii kwa kutembelea mabandiko mbalimbali ya kujikumbusha kuhusu shujaa huyu na Baba wa Taifa Letu.

Wengine wanakuenzi Kwa mawazo, Kwa kuikubali falsafa yako.

Wengine wanakuenzi Kwa maneno Kwa kuzungumzia Kwa mazuri yako.

Na tuko sisi tunaokuenzi Kwa vitendo Kwa kuitekeleza Dira na Dhima yako ya Rushwa ni adui wa haki, sitatoa wala kupokea, hivyo niligombea kuomba kuteuliwa kugombea nafasi fulani bila kutoa hata senti moja, na matokeo yake ni niliambulia patupu.

Pamoja na kutoka kapa Kwa kukuunga mkono Kwa vitendo, bado tutaendelea kukuenzi Kwa mawazo, maneno na vitendo kupitia kwenye kalamu yangu.

Nimalize Kwa swali hili, jee viongozi wetu wa kisiasa, wanamuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli kabisa au wanazuga tuu?.

Happy Birthday Mwalimu Nyerere.
Pascal Mayalla Snr
 
Mkuu Mwanahabari Huru, hili ni bandiko la uchonganishi ni sawa na uchochezi. Kualikwa kwa Mama Maria kulikuwa ni favour tuu, sasa hiyo favour unataka kuifanya ni right! .
Pasco
Leo tarehe 14 October ni siku ya Nyerere Day, tumuenzi kwa kujikumbushe tuliwahi kusema nini, kumhusu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
Leo tarehe 14 October ni siku ya Nyerere Day, tumuenzi kwa kujikumbushe tuliwahi kusema nini, kumhusu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Happy Nyerere Day.
Paskali
.....misa leo zilikuwa 2 nadhani ile Mwanza kitaifa na nyingine Butiama....mdahalo wa EA uko hewani sasa....naamini familia iko huko Serikali imewakilishwa Prof Kabudi....ndio MC huko
 
Na kwa vile jana ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
Ili kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 29 October, Watanzania tusifanye makosa, tujitokeze kwa wingi kwa jambo letu, tena ni asubuhi tuu na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Mama wa Taifa, na ukifika tuu kituoni kazi ni moja tuu, kutiki, kwa mtindo ule ule wa
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
Back
Top Bottom