Familia ya Nyerere gizani

Familia ya Nyerere gizani

nipo ulidhani nimekufa, CCM mmebakiza jina tu siku hizi poleni sana
Hapana mkuu, nilihisi labda utakua ulijiunguza vidole wakati unapika vikasababisha ushindwe kutype! Ukiitisha uchaguzi Leo ndio utapata majibu ya hisia zako!
 
Maadhimisho ya miaka 17 ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere yaliyofanyika jana mjini Bariadi mkoani Simiyu jana bila kuwapo wa familia ya mwasisi huyo wa Taifa.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka alisema Oktoba 5, mwaka huu Mama Maria Nyerere alikuwa miongoni mwa waalikwa katika sherehe hizo na mipango kwa ajili ya malazi yake na msafara ilikuwa imeandaliwa.

Katika mipango ya awali, mama Maria na msafara wake alipangiwa kufikia katika nyumba za halmashauri ya mji wa Bariadi zilizoko eneo la Nyamuata kabla ya kuhamishiwa katika hoteli mpya ya Sumayi katikati ya mji wa Bariadi.

baadae walipewa taharifa wenye hoteli hiyo kuwa ugeni huo hautafika tena bali viongozi kutoka zanzibar wangetumia hoteli hiyo ambapo nao pia walitii agizo la mh rais la kutokwenda huko.

Akihojiwa na vyombo vya habari mtoto wa nyerere (Madaraka Nyerere) akiongea sababu ya kutofika kwenye sherehe husika alisema.

"Yeye binafsi hakuona mwaliko wowote wa serikali ulioletwa kwenye familia yao wa kuhudhuria kwenye maadhimisho hayo labda kama kuna wanafamilia wengine walipewa"

Chanzo; mwananchi

swali,, Je serikali imeshasahau umuhimu wa familia ya nyerere hasa hasa mama malia nyerere?
 
nilidhani umepona huo ugonjwa kumbe bado unakusumbua, bado tunamachungu ya uchaguzi usichokonoe mambo hakuna asojua mlichokifanya
 
Sasa familia gizani kivipi? Yawezekana walikuwa na ibada muhimu nyumbani so siolazima kuwepo Simiyu. Nadhani tunatafuta makosa ya serikali kwanguvu sana,hata vya kawaida vinachochewa viwe vibayaaa pasi na kutanguliza staha hasa anapoongelewa marehemu tuliyemweshimu. Hata maadili ya kawaida tunakosa? RIP mwalimu JKN
 
Ndio maana ccm mnaambiwaga hamshirikishi ubongo
 
Sasa Pasco we unafikiri huyu jamaa zinamtosha kichwani kwake????????? We unafikiri Familia yake ataiendesha vipi asipo leta unafiki humu ndani??????HAKUNA MWANAJAMII FORUMU MUONGO KAMA HUYU JAMAAA........
Na huyo Pasco anayetaka historia ya mwalimu si mnafiki? Mpaka uje hapa, kwa nini usiende Butiama au Msasani? Mme wangu afanyiwe kumbukumbu halafu watu wengine waanze sherehe bila mimi na watoto kualikwa? It does not add up unless kulikuwa na udhuru ila Madaraka kasema yeye binafsi hakupata mwaliko. Tuwaulize akina Anna na Rose labda wana habari.
 
Mbona kama vile nilimuona yule Mtoto wa Mzee nyerere anayechonga sana??
 
Maadhimisho ya miaka 17 ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere yaliyofanyika jana mjini Bariadi mkoani Simiyu jana bila kuwapo wa familia ya mwasisi huyo wa Taifa.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka alisema Oktoba 5, mwaka huu Mama Maria Nyerere alikuwa miongoni mwa waalikwa katika sherehe hizo na mipango kwa ajili ya malazi yake na msafara ilikuwa imeandaliwa.

Katika mipango ya awali, mama Maria na msafara wake alipangiwa kufikia katika nyumba za halmashauri ya mji wa Bariadi zilizoko eneo la Nyamuata kabla ya kuhamishiwa katika hoteli mpya ya Sumayi katikati ya mji wa Bariadi.

baadae walipewa taharifa wenye hoteli hiyo kuwa ugeni huo hautafika tena bali viongozi kutoka zanzibar wangetumia hoteli hiyo ambapo nao pia walitii agizo la mh rais la kutokwenda huko.

Akihojiwa na vyombo vya habari mtoto wa nyerere (Madaraka Nyerere) akiongea sababu ya kutofika kwenye sherehe husika alisema.

"Yeye binafsi hakuona mwaliko wowote wa serikali ulioletwa kwenye familia yao wa kuhudhuria kwenye maadhimisho hayo labda kama kuna wanafamilia wengine walipewa"

Chanzo; mwananchi

swali,, Je serikali imeshasahau umuhimu wa familia ya nyerere hasa hasa mama malia nyerere?

We endelea na ujanja wako, ndege mjanja.........

Inajulikana familia ya Hayati Mwalimu imefanya ibada kijijini na Profesa Muhongo ameiwakilisha serikali, wewe shida yako nini?

Acha uchochezi.
 
Sasa Pasco we unafikiri huyu jamaa zinamtosha kichwani kwake????????? We unafikiri Familia yake ataiendesha vipi asipo leta unafiki humu ndani??????HAKUNA MWANAJAMII FORUMU MUONGO KAMA HUYU JAMAAA........

hujamuelewa pasco, na wala huujui uandishi wa Pasco wa jf
 
Kumbukumbu ya kifo miaka 17 baadaye bado tu iwe copy and paste ya jinsi mambo yalivyofanyika huko nyuma? Hebu tuacheni unafiki jamani. Hata china hawamuenzi mau wao kwa staili ileile. Tushukuru Mungu kuwa waTz bado wanamuenzi mwl hilo linatosha. Tusitafute kubebesha lawama watu hata zisizo za lazima.

Na washawasha!
 
Mkuu Mwanahabari Huru, hili ni bandiko la uchonganishi ni sawa na uchochezi. Kualikwa kwa Mama Maria kulikuwa ni favour tuu, sasa hiyo favour unataka kuifanya ni right! .
Pasco
Hata Mwanahabari ameandika sio kwamba kwa vile ilikuwa right, bali kwa kuwa tayari RC aliishataarifu kuwa Mama Maria na familia ya Nyerere ingehudhuria!
 
Back
Top Bottom