Familia ya muimbaji Christina shusho

Familia ya muimbaji Christina shusho

Wapo makere camp kigoma na USA muulize kibu d ni moja ya ndugu zake
 
Acha kumsema mpakwa mafuta wa Bwana...

Watumishi wa Mungu wanavita sana ikiwepo ya kutengwa na watu wa karibu...

Nabii hakosi heshima isipokuwa kwa watu wa nyumbani mwake
Mmmh huyo aliashaamua kumuacha Yesu na kwenda huko kwenye jicho la tatu na alisema katoka mwenyewe
 
Kasulu Ndiyo Ilipo Makele Njia Kwenda Kibondo Hapo Anatoka Mke Wa Zabayanga Pia, Mbonimpaye
Hao uliowataja hata siwajui.

Shushu kaziwa bongo ila familia yake ni wakimbizi kutoka Dr congo.
Wengi wanaishi camp,USA na Canada.
 
Tuliohudhuria mtoko wa pasaka huyu muimbaji Christina shusho hana ndugu? Mbona wasanii wakiwa na tafrija wakiitwa ndugu hujitokeza kwa wingi sana ...vipi kwa huyu dada yetu na mbona siasa ni nyingi kuliko muimbaji wake
Mtafute Instagram umuulize mkuu, anapatikana kule
 
Acha kumsema mpakwa mafuta wa Bwana...

Watumishi wa Mungu wanavita sana ikiwepo ya kutengwa na watu wa karibu...

Nabii hakosi heshima isipokuwa kwa watu wa nyumbani mwake
Hayo mafuta alipakwa na nani? Maana Kibiblia Kila aliyepakwa mafuta alipakwa alipakwa na Mtu fulani aliuetumwa na Mungu.

Sasa huyu wako alipakwa na nani? Na ilikuwa lini,? Na wapi?
 
Back
Top Bottom