Nimekusaidia tu mkuu, ila uko mimi sipo.
Hawa ni The Jackson Family, yupo La toya, Michael, Rand, Rebbie, Jermaine, Janeth.
Hapa ilikuwa kabla hawa jachakachua sura zao halisi za kiafrika
Nadhani ulikosea kwenye kukopi au ku-drag in hizo picha.Asante sana mkuu, ila niambie utaalam ili nisifanye makosa tena
Nadhani ya Malkia Elizabeth ndio maarufu zaidi kuliko wao