Familia imara hujengwa na baba dikteta na sio vinginevyo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
19,288
Reaction score
39,974
Mapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya nyumba yako afuate utaratibu. Kimsingi ukiwa BABA KATAA DEMOKRASIA NDANI YA FAMILIA. Udikteta ndo njia pekee ya kulinda kizazi chako kisiangamie.

Saa nyingine wasikilize wanachosema ila iwe kama maoni ambayo sio lazima kuyafanyia kazi. Familia inatakiwa i-fit kwenye mfumo wako. Kwa mfano toto halitaki kufanya kazi za nyumbani kama kudeki, kupiga pasi, nk anatakiwa akutane na hasira zako iwe fundisho kwake.
 
This was a kind of family life in Europe around 1800s and early 1900s. Nilikuwa nasoma maisha ya wazungu hapo zamani nikakuta baba mwenye nyumba alikuwa anaogopeka mno. Zama hizi ni ujinga wa hali ya juu kufanya hivyo na matokeo yake ukubwani unaishia kuwa na watoto makatili na wauaji kama Samia. Athari zake zinakwenda mbali sana.
 
Mapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya nyumba yako afuate utaratibu. Kimsingi ukiwa BABA KATAA DEMOKRASIA NDANI YA FAMILIA. Udikteta ndo njia pekee ya kulinda kizazi chako kisiangamie.

Saa nyingine wasikilize wanachosema ila iwe kama maoni ambayo sio lazima kuyafanyia kazi. Familia inatakiwa i-fit kwenye mfumo wako. Kwa mfano toto halitaki kufanya kazi za nyumbani kama kudeki, kupiga pasi, nk anatakiwa akutane na hasira zako iwe fundisho kwake.
Na familia dhaifu hujengwa na mama legelege
 
Back
Top Bottom