Wadau naomba kujuzwa kuhusu ubora wa zile simu zinazouzwa mitaa ya Posta, Dar(barabarani, siyo dukani), kama kweli ni orijino. Zinauzwa bei chee, hadi laki mbili na nusu. Kwa kuziangalia ni kama orijino, na natamani kununua, ila roho inasita. Mwenye experiensi nazo anijuze tafadhali.