Fake + Fake+ Fake = Fake.

Kope bandia tunabandika iwe kama canopy, inapunguza vumbi na jua kuingia machoni.
Umenistua, kumbe kuna contact lens feki, I need green eyes ngoja niende kariakoo!
plz plz plz hicho cha mwisho kitaje nipate mzuka wa kushusha point.

Speaker Sorry natoka nje ya mada
Ila dada zangu mnapoweka nyusi bandia hamyahurumii hayo macho? Hamyadhamini? Mnadhani kuna spair za macho? Unakubalije kukodoa jicho kubandikwa nyusi? Au kuvaa contact lens za urembo? Ili iweje?
 
Kumbe zile kope ni za kwako? Husn anavyoninyanyasa nazo jamani,kha! Mbona nilishamuomba nizibandike pasaka? Kama una contact lens za green naomba uniazime nitesee xmas.
hivi kope zangu ndio umenirusha......?
hebu rudisha bwana....nataka niziweke pasaka hii....mtu chake ananipeleka kisiwani....Mafiaaaaa,,,,,
 
Kope bandia tunabandika iwe kama canopy, inapunguza vumbi na jua kuingia machoni.
Umenistua, kumbe kuna contact lens feki, I need green eyes ngoja niende kariakoo!

Dah,kweli wanaume tuna tofautiana sana pia.
Uwe mke wangu afu utoe vitu natural toka mwilini kwako?
Dah,utaniweka majaribuni sana................
 
Mh. Speaker, kaa ujue bongo kila kitu , kuanzia presdent hadi sisi wana-JF,, majina fake, avatar fake, tunapoishi fake. no need to complain
 
Kwani mawigi yana husiana na ushirikina pia?

Kiongozi, umeshawahi kujiuliza haya mawigi yanatokana na nini hasa? wanatoa wapi material ya kuyatengeneza? ukichunguza kwa makini utabaini kuwa hiyo ni shirki tu hakuna kingine:A S shade:
 
Kiongozi, umeshawahi kujiuliza haya mawigi yanatokana na nini hasa? wanatoa wapi material ya kuyatengeneza? ukichunguza kwa makini utabaini kuwa hiyo ni shirki tu hakuna kingine:A S shade:

Naskia ni nywele za maiti,toka kwa wahindi,wachina,etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom