Fake + Fake+ Fake = Fake.

Ungempiga picha tuione mana nasumbuka nikifikiria vile huyo dada amefanana,alafu taharuki hatuiwezi wengine wetu,twambie cha mwisho fake ni gani?
 
duu kweli huyo alikua fake ndo maana anakutana na wanaume taipu feki
 
Ungempiga picha tuione mana nasumbuka nikifikiria vile huyo dada amefanana,alafu taharuki hatuiwezi wengine wetu,twambie cha mwisho fake ni gani?

Kila nikiandika moderators wana kiwekea ***,so haki tamkiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom