Kwanza kabisa badilisha ID yangu sio Faizafox ni FaizaFoxy, waombe mods wabadili au nta report "name calling".
Pili nakuomba soma hii halafu fata link:
WATCH: What Can Politicians Learn from the World of Sports? - BCNN1
George Allen knows a thing or two about politics.
He spent four years as the governor of Virginia and served as a congressman in the U.S. House of Representatives. He also represented the Commonwealth in the U.S. Senate.
Kumbuka huyo ni Governor, kama ingekuwa USA haijaungana huyo ndio ingekuwa President wa Virginia.
Halafu mpira hauna mipaka, wachezaji wengi duniani ni wanasiasa pia Pele, aliwahi kuwa Waziri wa Michezo, Romario sasa hivi ni mwanasiasa. Joel bendera aliwahi kuwa mchezaji, coach na sasa waziri na mwanasiasa.
Mkuu wa mkoa ni mtu wa michezo na unaupenda mpira na anataka aufundishe, kwani ukiwa mkuu wa mkoa ndio huwezi kufundisha somo unalolipenda? Unanchekesha. Halafu unaonesha una mawazo mgando yasiyopenda maendeleo.