Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

Status
Not open for further replies.
jaribu kushirikisha ubongo wewe, hata kama akiwa na miaka 15 na ajali ya Mv.BUKOBA ni miaka 16 sasa na yeye anadai anakumbuka tukio zima na alikuwa na akili timamu, Use your Mind
watu wengine huwa wanapenda kufikiria kwa kutumia masaburi yao, achana naye huyo!
 
jamani huyu mtoto ana miaka 16 ni vyakula 2navyokula siku hizi kama kwenu wanauwezo we unafikiri chakula anachokula huyu unaweza kulinganisha na unachokula we

Naomba ukumbuke sijaongelea muonekano at first., nimeongelea statement zake mbili zilizotofautiana., huwezi kuwa 15/16 halafu pia uwe present tena mtoto mwenye akili kubwa ya uelewa muda wa ajali ya mv bukoba., ts imposible...thread vizuri kabla hujareply
 
kwa mfano kuna mtoto namfahamu ana miaka 13 but ukimuona unaweza sema ana 18-20 kwahiyo mi nimemjaji kwa ninavyomfahamu

Sasa huyo mtoto unayemfahamu ana 13 ila anaonekana mkubwa inamaana amezaliwa 1999, leo hii aje kukupigia au uje kupigiwa stori za 1998 utaelewa nini..? Tena kwenye hizo stori ni inaonyesha wazi kuwa alikuwa mtoto ila kwenye age ya uelewa na kutambua kile kinachoendelea
 
umenifurahisha sana, na hiyo nia yako ya kukabandua hako katoto ila nina wasiwasi cjui kama utawahi!
 
ni kweli haka kabint kanaonekana bado ukikaona live hakajazd 20. ushauri tu ni kuwa ukiamua kuwa muongo hakikisha memory card yako iko poa, siyo unapoteza network halaf unabug step, hahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, baby faizaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tru dat.... Mimi sioni kama mkongwe, age yake itakuwa in early twenties hivi.., tatizo ni kwa nini adanganye? Nilikuwa nampenda sana na nilikuwa napenda show yao na niliifuatilia sana, ila kwa hapa kanichefua..
 
nimeipenda iyo research Kalulu uko makini, ila in most cases umri kwa watu 'maarufu' (ambiguity) huwa ni kigugumizi

kibongo bongo na afrika ni sawa...duniani hakuna biashara ya kijinga ya kudanganya umri..utamdanganya nani wakati kila mtu record zake zipo na zinafahamika???

kitu cha watu kujiuliza ni...ukishadanganya halafu unapata nini??? kwamba una kipaji sana ambacho kimejitokeza ukiwa bado mdo ki-umri...je, hiyo ni sifa ya kutosha kufanya uishi maisha ya kuigiza...no wonder nchi inaelekea kuwa taifa la wasanii(soma waongo waongo, si wakweli).
 
true kabisa.. nadhani wengi wanafanya kwa sababu hiyo., maana mbali ya hapo hainiingii akilini kwa nini mtu adanganye umri., kwa wale wanaojiongezea nadhani ni kwa sababu wanataka fanya mambo yasiyokubalika na jamii kwa umri wao,
 
km kaanza grade 1 akiwa na 4 yrs, akafika grade 3 akarushwa hadi grade 6 akiwa na 7yrs kamaliza grade 7 akiwa na 9yrs, kaanza form 1 akiwa na 10yrs na kamaliza form 4 akiwa na 13 yrs, hop yupo six now. coz kuna ma best friend nipo naye degree ya medicine mwaka wa nne tunaingia wa tano sasa. huwezi amini mwili wake mkubwa lakini ana only 21yrs. na amesoma kwa style niliyoieleza hapo juu. so dont judge a book by its cover. tufanye kwa kadri inavyopaswa kuwa, tuache kuwachafua watu pasipo na sababu. hyo picha mliyoweka hapo haipo sawa. ukipenda mtazame huyu binti eatv 5select then comment.
 
siamini katika kupondeana but kueleweshana na kukosoana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom