Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

Status
Not open for further replies.
Dec 10, 2011
78
21
Sijui kwanini wasanii wa bongo wanapenda kudanganya umri wao., hilo tumeliona kwa wasanii wachache na mmoja wapo "lulu" ambaye amefunza jamii juu ya adhari za kudanganya umri., turudi kwa faiza mtangazaji wa channel 5 kipindi cha 5 select., kama wiki mbili zilizopita tuliona exclusive session yakr ndani ya skonga ambapo alihojiwa shule anaposoma na kwa mdomo wake nakumbuka alisema ana miaka 15.. Sasa leo kaniacha kwenye butwaa kugundua na yeye ni kama wasanii wengine baada ya kuongea juu ya topic ya MV bukoba katika kipindi cha leo cha 5 select akisema anakumbuka alimpoteza bibi yake na ilibidi wasafiri na mama yake kwenda kutambua mwili wa huyo bibi yake.. MV bukoba ni miaka 16 sasa imepita, skonga kasema anamiaka 15 halafu 5 select anahadithia jinsi ajali ilivyotokea na alivyojisikia vibaya baada ya mama yake kumpa taarifa., tena ameongea hivi " i was young but i still remember everything coz nilimpenda sana bibi yangu"... Sasa nawauliza jamii, kudanganya umri kwa wasanii imekuwa fashion au...?
 
Bado watu hawataki kujifunza kutokana na makosa, na hapa ndipo Taifa linapoingia gharama zinazoweza kuepukika kama kila mmoja wetu atajifunza makosa yaliyowahi kufanywa na mwengine
 
Sura yake nayo ya kitoto au?

Ebu mcheck hapo!!
Faiza.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom