Faiza Foxy ameuteka moyo wangu

Mtafute kamanda wa boko haram ukamtolee posa
 
Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Ndoa hata kabla ya uchumba, au mahusiano yameanza zamani!
 
We Bibi mbona huchangii mada siku hizi au mkwere hayupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…