Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Faiza anaboa wa kwanza kusimanga wenzie hawana watoto kisha wa kwanza kujipa uvictim. Yeye si superwoman ampotezee tu sugu na kulea mwanae.

Mwenzie flora mvungi alijua kakosea na kujuta kuhusu hbaba kisha akamove on ila huyu anayejiona dada wa mujini kutaka kuishi kwa mashindano kwa pesa za sugu lazima akusanye drama mitandaoni aonewe huruma.

Anajisahaulisha kuwa sugu alishinda kesi ya custody ya mtoto na ana haki ya kumchukua muda wowote atakao
Mkuu mimi nilijua aliposhinda kesi alimchukua mtoto, sasa hapa nashangaa kuwa mtoto bado yuko kwa Mama yake
 
View attachment 2444126
Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu?? Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli..pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.
Kosea yotee usikosee mwanamke mhh yani mambo ya familia yanamwagwaaa hadharani tena public na matusi juu

Manina mwanamke huyu ni wa kupigwa kerebuuu za maana..🤕🥵
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom