asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Naenda church nikirudi humu Nakinukishaa kama sio Kulichokozaa! naanzisha mada ya 2012 MMU SEXIEST BACHELORS!!!!!!!! Na vigezo vyao! Nani na nani watakuwemo?????? Usikose kesho chrissmass hakuna kulala humu!
BWANA AWE NANYI!!!!!!!!
THE TRUTH IS FOR THE FEW BRAVE!!!!!!!!!! Watu wanapenda sweet lies! Si unajua kujifariji nako kunasaidia!
Na mimi ngoja nilete stori za Kuchu kuchu Hotae za Aghakan Mzizima!!!!!!!!! Hahahaaaaaa! Shuke ushahidi picha lote mtaani tu! Asubuhi kuhadisiana yaliyojiri jioni!
Never kumpeleka mwanangu boarding! Ni kumnyima maraha ya dunia tu!
Ombi langu unikumbuke kwenye uzima wako utakapoanza uchaguzi bila kusahau lakini vigezo na masharti............
hahahahahahaaa! kwa hiyo mm ni ulimbo siyo wa kumkamatisha ticha kwa Snowball? hiyo kiboka sasa kama akigusa kwangu halafu akanasa itakuwaje?hahahahah ticha lazima aliweeee..chezeya kukumbushwa mabo ya la mujer....hahahahah. Lisa kizugio tu cha kumnasa ticha....
Na mimi ngoja nilete stori za Kuchu kuchu Hotae za Aghakan Mzizima!!!!!!!!! Hahahaaaaaa! Shuke ushahidi picha lote mtaani tu! Asubuhi kuhadisiana yaliyojiri jioni!
Never kumpeleka mwanangu boarding! Ni kumnyima maraha ya dunia tu!
Waambie hao maana washaanza kutuletea story za mkoloni..
Watoto wa shule za town tunakutana food evening,, talents nights, sleepway jumapili hadi night kali j 3 ukifika class kusinzia tu..
Watoto wa bording za mikoani wanajifanya wasongo.. Hadi mitaani sisi tunaonekana vilaza sema necta matokeo yakitoka sasa hawagusi moto wetu, na ku party kama kawa..
Kitu cha feza boys enzi hizo badala ya kusoma, mnaaongelea mabinti wa cornelious tu, jangwani, kisutu,st marys etc... Yaani shule ikifunguliwa tu watu story za girlfriends wapya...
Enzi hizo datings mnakutana steers, nandors, snowcream posta.. Etc... Its more than fun
Hahahaaaaaaaaaa! Out of curiousty ulikuwa unamjua shombe shombe flani hivi alikuwa anitwa SUCHIL (R.I.P) SUSHIL Ndo inatamkwa!?????????? Alikuwa A level Cornelius tukiwa O level!!!!!?
Heeeeeeeeeeeeee! Snowball, sijaanza hata kufikiri umeanza kuleta maombi je nikisema haya sasa nataka hiyo fair play , itakuwaje si uta------------?
Hahahaha..mie nimetangaza nia tu mdogo wangu, baada ya kuona jimbo liko wazi..ila nasubiri taratibu zingine za kichama zifuate
Tatizo siyo kutangaza nia, ila ni kuwahi kusema, umewahi sana, inaweza kukuletea madhara wewe au mm.
hahahaahahahaaaaaaaaaaaaa! Loh! nimekutisha mpk umetishika kijana, ukitaka kitu uliza wazee siyo unakurupuka shauri yako utatumiwa PM sasa hivi na mhusika anakuona tu unavyonisarandia.:becky::becky::becky::becky:Tufanye tu sijasema ...lolz
Ili hayo madhara yasinikute au yasikukute!
hahahaahahahaaaaaaaaaaaaa! Loh! nimekutisha mpk umetishika kijana, ukitaka kitu uliza wazee siyo unakurupuka shauri yako utatumiwa PM sasa hivi na mhusika anakuona tu unavyonisarandia.:becky::becky::becky::becky: