tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 26,023
- 25,430
Mtani pole sana, sisi ni wazee wa short term plan.
hahahaha! umemjibu huyo yeboyebo kiufundi sana. ngoja sasa aende kulala asikilizie maumivu.
Mtani pole sana, sisi ni wazee wa short term plan.
Masikini mikia furaha yote hiyo kwaajili ya kibonanza tu??? au kuna lingine?
Tunawakaribisha VPL, siku mkimiss step tu. Mtajutraaaaa kuijua Yanga.
Acheni huu upuuzi. Tendo la ndoa ni takatifu si la kufanyia utani kama huu. Dhana hii inaonesha mwanamke anapolala na mwanaume ni kama anadhalilishwa na mwanaume anaonekana ni wa maana katika hilo tendo.
Simba mwenyewe jogoo haliwiki hadi viagra (matuta)!
Uchuro hongera yako itie somewhere. Uliomba dua zisizofika darini kimekushinda unatupa hongera .
Bonanza
Haah,haah imepigwa Atomic wamesambaratika tunaokota mafuvu hukuWapi MEANDU njooo tusherekee!!!!
naona wana yanga wote leo wanatafuna miwa kupooza machungu ya mtani jembe. Simba ni shiiiidaaaaaaaaa.
La mkosaji
Mikia oneni aibu, huu siyo ushindi wa kutembea kifua mbele. Ni aibu kutambia ushindi wa matuta ndiyo maana wakuu wenye heshima zao hawazungumzi lolote hapa jamvini.
simba ni sheeedah, haina mpinzani
Lala bosi usije bust bureWewe siyo mwanamichezo, utatulengesha kwenye ban bure, ngoja nikupuuze tu wewe mshamba mkubwa!
Nadhani Mods Mtakua mmetekeleza majukumu yenu kwa huyu kipele.Mtibwa asipochukua kombe hili naomba mods nipumzishe kwa siku tatu.
adhabu hiyo ianze saa 4:00 usiku hadi ijumaa saa 4:00 usiku.
nawasilisha.
Kama ni bahati nasibu kilikushinda nini wewe kukata?
Haya haya Libolo limehasiwa na Dokta Ivo MapundaUmelenga haswa Mkuu! Kwa jinsi nisivyoipenda Azam, ningeshangilia Mikia japo ni kwa siri sana kwa hofu ya 'wayahudi'. Simba siichukii bali ni watani wetu, kikwetu tunawaita 'Bhaphughu'.Azam naichukia absolutely, hata chapati huwa sili, juice sinywi, Azam TV siangalii na bidhaa zake zote situmii. Sasa hivi nina changamoto moja tu: sehemu ya kodi anayolipa SSB naipokea kama mshahara, natafuta ufumbuzi nitambue ni kiasi gani ili nisiwe naichukua hiyo pesa, itasaidia watoto yatima. Ni hayo tu Mkuu wangu.
Kila la heri Mtibwa Sugar a.k.a Libolo FC la Bongo.
Dah mikia ilivyo na maneno, wiki hii haitakuwa njema kabisa, ila Mtibwa mmepigana hasa. Heshima kwenu Mtibwaaaaa.....
Naichukia hili litimu la msimbazi, lishuke daraja tutulie.
Simba Nishashiba.. lete mwingine
SMBAA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
SIMBA 4 MTIBWA 3 Simba imepata penalti 4 na mtibwa imepata penalti 3, HONGERA SIMBA
Haya haya Libolo limehasiwa na Dokta Ivo Mapunda
Hakuna gharika ligi kuu hakuna matuta.