naona kipele kimekunwa katulia tuliiiiNadhani Mods Mtakua mmetekeleza majukumu yenu kwa huyu kipele.
Simba Nishashiba.. lete mwingine
Nakupa onyo, kasome JF Rules kabla sijabonyeza kitufe cha Report abuse.
Arusi hata sio yenu mnakata viuno kama sio uchuro ni nini?
Nijibu post yangu nikumalize fasta. Umejiunga JF bila kusoma kanuni eeh! Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulumwengu, na ulimwengu ndio sisi
Nakuomba kaka yangu, achana naye hujamsomaga tu?.
Teh achana nae bhana
Kausheni wakuuNijibu post yangu nikumalize fasta. Umejiunga JF bila kusoma kanuni eeh! Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na ulimwengu ndio sisi.
Mnyama Mkali ndiyo habari ya mjini
Kausheni wakuu
kwa niaba ya crew nzima niwashukuru wote mliotujalia usindikizaji na utaarifu hadi siku ya leo akiwemo mkolaj aliyeamua kusoma nyota na kukimbia mapema
cc
Bantulady
cc
Makoye Matale
cc
Grafani11
Nadhani Mods Mtakua mmetekeleza majukumu yenu kwa huyu kipele.