Hawa Mtibwa leo wako vizuri
Unaangalia mpira upi? Ule wa manungu au huu wa Zenji mapinduzi cup final 2015?
Mtibwa asipochukua kombe hili naomba mods nipumzishe kwa siku tatu.
adhabu hiyo ianze saa 4:00 usiku hadi ijumaa saa 4:00 usiku.
nawasilisha.
Langoni kwa simba roho na izirailu,
Mtibwa asipochukua kombe hili naomba mods nipumzishe kwa siku tatu.
adhabu hiyo ianze saa 4:00 usiku hadi ijumaa saa 4:00 usiku.
nawasilisha.
wapige ban ID zako zote?Mtibwa asipochukua kombe hili naomba mods nipumzishe kwa siku tatu.
adhabu hiyo ianze saa 4:00 usiku hadi ijumaa saa 4:00 usiku.
nawasilisha.
Bantu lady umeolewa? maana naona unataka kuwachokoza watu tu humu ndani. acha watu wachezee kichapo Simba huwa wanamkimbiza mwizi kimya kimya... waka hawana kelele...halafu sometme wanapomkimbiza mwizi wanajifanya kuchechemea.so mwizi anapunguza mwendo au anaamini kuwa hatoshikwa akija kushtuka too late amekumbatiwa na kupewa za chembe. hebu kaa pembeni tuache wanaume tufanye yetu. sawa bint? kaa mbali na sisi kabisa... hii ni weka mbali na watoto
Unaangalia mpira upi? Ule wa manungu au huu wa Zenji mapinduzi cup final 2015?
Umuofia kwenu!