fumua linda lote,wengine wahemee dimbwiKumamamamamakeeeee....Simba ni noma. Mume wa yanga tumemuhemea kisogoni
Ukipita mitaa mbali mbalimbali yenye matawi ya simba utakuta vijana kwa wazee wametulia wakisubiri ushindi wa leo dhid ya mtibwa.
Simba imetimia na kutulia sawasawa kiwango kipo juu na hii itadhihirshwa leo pale uwanja wa amani.SIMBA OYEEEEEEEEEEEEEEEEE
Hongereni sana Simba. Tukutane kwenye ligi.
Aungurumapo Simba mcheza nani!!!!!!!!!!!!!
asante mwananmichezo, toa like kwa kila mwanasimbaHongereni sana Simba. Tukutane kwenye ligi.
usiseme ivo,sema msitufunge sana tukikutana.BIG UP SIMBA UKAWA
Hahahaha allahaaa!!! Mtani hapa tupo pamoja!!!! Simba juuuuuuuuuuuuuu!!!!
Bonanza
fumua linda lote,wengine wahemee dimbwi
haah,haah mpenzi YangaAhh! Sasa ni kujichukulia mzigo wako na kurudi Dar kufaidi mapenzi niue. Shukrani Mapunda.
View attachment 218396
umeona eeh? yeboyebo wote wameondoka kwenda kukata gogo. ngoja wenye kombe tujiachie kwa nafasi.
Nyie nao hamuelewi... mtani jembe mkasema tukutane mapinduzi, JKU akawatoa mkasema mtibwa kiboko, sasa tukutane tena wapi...!!!?