Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Masikini mikia furaha yote hiyo kwaajili ya kibonanza tu??? au kuna lingine?
Tunawakaribisha VPL, siku mkimiss step tu. Mtajutraaaaa kuijua Yanga.
 
Kombe la mbuzi hilo nitawaona wajanja kama mtachukua la ligi
 
Wasitusumbue ushindi wenyewe wa matuta!

Tumefika hadi maana ni kama tulikuwa tunacheza na timu tatu, Mtibwa uwanjani huku ikipata support ya Yanga na Azam pengine hata na Kagera Sugar. Lakini ingekuwa ni timu moja tu tungekuwa tushamaliza mchezo longtime.
 
Ilitakiwa Yanga ndo afumuliwe malinda leo, washukuru JKU dadadeki.

Mikia oneni aibu, huu siyo ushindi wa kutembea kifua mbele. Ni aibu kutambia ushindi wa matuta ndiyo maana wakuu wenye heshima zao hawazungumzi lolote hapa jamvini.
 
Masikini mikia furaha yote hiyo kwaajili ya kibonanza tu??? au kuna lingine?
Tunawakaribisha VPL, siku mkimiss step tu. Mtajutraaaaa kuijua Yanga.

Acha kuota wewe! Mbona mlikula njama na JKU wawatoe kumkwepa mnyama? Acheni woga! Tungepiga viwili tu, cha mbele na nyuma, bhaaas!
 
Tumefika hadi maana ni kama tulikuwa tunacheza na timu tatu, Mtibwa uwanjani huku ikipata support ya Yanga na Azam pengine hata na Kagera Sugar. Lakini ingekuwa ni timu moja tu tungekuwa tushamaliza mchezo longtime.

Mkuu hata wewe unaandika haya au kuna mtu kaiba pin yako nini?
 
haya rudin ligi kuu nafac yenu ya 10 inawasubiri, na mwaka huu lzma mshuke daraja..
 
Acha kuota wewe! Mbona mlikula njama na JKU wawatoe kumkwepa mnyama? Acheni woga! Tungepiga viwili tu, cha mbele na nyuma, bhaaas!

Tumewahi kwenye ligi kuu maana ndio mabigwa watarajiwa. Nyie wazee wa vibonanza tunawaachia.
Hatukulitaka hilo kombe, halafu muache kelele humu.
 
Back
Top Bottom