Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Acheni huu upuuzi. Tendo la ndoa ni takatifu si la kufanyia utani kama huu. Dhana hii inaonesha mwanamke anapolala na mwanaume ni kama anadhalilishwa na mwanaume anaonekana ni wa maana katika hilo tendo.

Simba mwenyewe jogoo haliwiki hadi viagra (matuta)!

Kwako tunadindisha sana tu.Ndio maana tunapiga 2,3,5,6. Wacha wivu cha kukupiga tumebakisha.
 
Mnyama Mkali ndiyo habari ya mjini
 

Attachments

  • 1421179369997.jpg
    1421179369997.jpg
    12.3 KB · Views: 208
Jamani hakuna watu wa Simba huko zenj embu rusheni mapicha bana!!! Kapicha jamani jukwaa linoge.....

hata me nimeshangaa kidogo ila wahenga wanesema "utamu wa mechi mabao"
 
Dah mikia ilivyo na maneno, wiki hii haitakuwa njema kabisa, ila Mtibwa mmepigana hasa. Heshima kwenu Mtibwaaaaa.....
Naichukia hili litimu la msimbazi, lishuke daraja tutulie.

tatizo nyota.....Msimbazi ndo mpango mzima
 
Aliyestahili kushinda; amebeba kombe!
Simba hoyeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom