Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Mikia oneni aibu, huu siyo ushindi wa kutembea kifua mbele. Ni aibu kutambia ushindi wa matuta ndiyo maana wakuu wenye heshima zao hawazungumzi lolote hapa jamvini.

Wewe ndio basi kabisa, unakumbuka Brazil 1994? Unakumbuka Chelsea na champions league? Hata kama mnadai ni bonanza, ila timu zote za bongo kubwa zimeshiriki ikiwemo na mabingwa wa Ug, na tumeibuka kidedea. Acha wivu wa kike. Kubali matokeo.
 
Masikini mikia furaha yote hiyo kwaajili ya kibonanza tu??? au kuna lingine?
Tunawakaribisha VPL, siku mkimiss step tu. Mtajutraaaaa kuijua Yanga.
Mtani pole sana, sisi ni wazee wa short term plan.
 
Mikia oneni aibu, huu siyo ushindi wa kutembea kifua mbele. Ni aibu kutambia ushindi wa matuta ndiyo maana wakuu wenye heshima zao hawazungumzi lolote hapa jamvini.

hasira za mkosaji hizi!
 
cheki lilivyojazia huko nyuma mpaka raha jamani.
Leo ni kulila mbele na nyuma tu.

Acheni huu upuuzi. Tendo la ndoa ni takatifu si la kufanyia utani kama huu. Dhana hii inaonesha mwanamke anapolala na mwanaume ni kama anadhalilishwa na mwanaume anaonekana ni wa maana katika hilo tendo.

Simba mwenyewe jogoo haliwiki hadi viagra (matuta)!
 
haya rudin ligi kuu nafac yenu ya 10 inawasubiri, na mwaka huu lzma mshuke daraja..

Ebu jiulize mmetuacha pointi ngapi na ligi mpaka sasa imebaki michezo mingapi kwa kila timu? Na acha kuzuga, kuna improvement Simba toka huyu kocha aichukue, hivyo tegemea gharika. Naona mshaanza kuogopa!
 
Simba mabingwa wa Tanzania tyari tunaenda kupambania ubingwa wa Tanganyika sasa.
 
Ebu jiulize mmetuacha pointi ngapi na ligi mpaka sasa imebaki michezo mingapi kwa kila timu? Na acha kuzuga, kuna improvement Simba toka huyu kocha aichukue, hivyo tegemea gharika. Naona mshaanza kuogopa!

Hakuna gharika ligi kuu hakuna matuta.
 
Ebu jiulize mmetuacha pointi ngapi na ligi mpaka sasa imebaki michezo mingapi kwa kila timu? Na acha kuzuga, kuna improvement Simba toka huyu kocha aichukue, hivyo tegemea gharika. Naona mshaanza kuogopa!

Angalia nafac uliyopo
 
Jaman naomba historia ya huyu dogo isiaka maana dogo anajua n balaaaa canavaro tupa kuleeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom