Faida za tunda la ukwaju

She!!!
Kwani ile kitu ana ngufu yake!
Acha nami nimuelese mama yeyoo aongese ngufu yake.
 
shule vipi mkuu na mtaji wako je ?

achana nae anataka umuue huyo
 
ila mkuu itakuwa huyo mamito anakupenda sana mpaka anakuelekeza cha kufanya pasipo shida dah.... unabahati sana aisee
 
Mkuu una nguvu za mieleka sio za kumfanya mdada akafanyika ndo maana kakwambia hivo, inakubidi ule mrenda kwa sana
 
Inasaidia watu ambao ni HIV positive. Labda anahisi umeshaumia. Pole zako, unaweza kufa kabla ya wakati kwa kupenda ngono.

Funge..... kwan we hupendi ngono, unataka nivute ngada?HIV nilipima Juzi ,so husijali kwa hilo mdau wangu!
 
Last edited by a moderator:

Ubaya ni kwamba umeomba kushauriwa lkn unabisha tena. Inashangaza unavyojipalilia. Sasa usitafute ujiko wa kumshambulia mtu ambaye hawezi kujitetea humu jf. La sivyo mlete hapa kwny jukwaa tumsikie na yeye. Unatukera bana!

samahan kwa kukukera mkuu, lkn muwajibikaj ni mimi hvyo lazima nitoe ya moyoni
 
mi nina kila mbinu za kumfikisha mtoto wa kike na ndio maana ma-x bado wanalisoteas penzi langu
ila huyu , nimegundua ana matatizo yake!
Kudumu dk 45 si mchezo ujue!
Natoka hapo hoi vibaya, lkn matokeo ni ziro!

Ndomana humfikishi. Kuna tofauti kubwa kati ya nguvu za kawaida kama hizo unazotambia...na nguvu za mjomba.
Ni bora kakwambia ukweli. Badilika
 
nipeni dawa ya nguvu za kike,inatakiwa aanze dozi mara moja!

Unaweza ukajiona unatoa risasi kumbe unatoa maganda ya risasi hahahahhaah. Kumfikisha mwanamke yataka ubunifu na ufundi. Wacha kumoaka jasho mwenzio
Poleeeeeeee
 
mi nina kila mbinu za kumfikisha mtoto wa kike na ndio maana ma-x bado wanalisoteas penzi langu
ila huyu , nimegundua ana matatizo yake!
Kudumu dk 45 si mchezo ujue!
Natoka hapo hoi vibaya, lkn matokeo ni ziro!
Ma ex wako walikufichia siri na ndo maana walisepa ila huyu muungwana kakueleza ukweli. Inawezekana unakaa dakika 45 ila amekubana tu wewe unajisifia tu. Pole kaka tafuta hiyo juisi
 
mi nina kila mbinu za kumfikisha mtoto wa kike na ndio maana ma-x bado wanalisoteas penzi langu
ila huyu , nimegundua ana matatizo yake!
Kudumu dk 45 si mchezo ujue!
Natoka hapo hoi vibaya, lkn matokeo ni ziro!

Huna nguvu huyo ex alikuwa anakuibi..Huyu mdada anasema kweli wanawake wote ni wezi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom