Faida za tunda la ukwaju

MziziMkavu naomba kufahamu je juice ya ukwaju pia husaidia kusafisha figo?
Bibie.@Rich woman
JUISI YA TIKITI MAJI
Chukua tikiti maji (Watermelon), osha kisha likate vipande na chukua nyama yake ya ndani ambayo utaisaga na kupata juisi.
Faida yake
Juisi hii ina uwezo wa kusafisha figo pamoja na njia ya mkojo yaani Urethra. Inazuia unene (Obesity) kwa kuwa na kiwango kidogo cha calories.
Au Tumia dawa hii Tiba ya kusafisha figo na kibofu cha mkojo

Changanya kwa pamoja juisi ya kiazi sukari juisi ya tango na juisi ya karoti kunywa kila siku mara tatu au mara nne kwa siku.

Ukwaju hausaidi kusafisha Figo.​
 
Bibie.@Rich woman
JUISI YA TIKITI MAJI
Chukua tikiti maji (Watermelon), osha kisha likate vipande na chukua nyama yake ya ndani ambayo utaisaga na kupata juisi.
Faida yake
Juisi hii ina uwezo wa kusafisha figo pamoja na njia ya mkojo yaani Urethra. Inazuia unene (Obesity) kwa kuwa na kiwango kidogo cha calories.
Au Tumia dawa hii Tiba ya kusafisha figo na kibofu cha mkojo

Changanya kwa pamoja juisi ya kiazi sukari juisi ya tango na juisi ya karoti kunywa kila siku mara tatu au mara nne kwa siku.

Ukwaju hausaidi kusafisha Figo.​

Asante kwa jibu lako zuri hakika limenipa mwangaza
 
Mzizimkavu,kwanza umeandika kuhusu faida ya maji ya limau,sasa unaandika kuhusu faida za ukwaju. Good luck. Lakini if it is health that you want,the key word is pranayama.
For some time The Lama gave basic instructions and then he said, ‘I must emphasize again that it is not at all necessary for you to sit in The Lotus Position or to sit in any position which is uncomfortable. You must at all times sit in a position which is comfortable, a position where in your spine is erect, because only then can you derive The maximum benefit. Remember, also, that by day you sit with your palms upwards so that you may absorb The good influences of The sun throughout The day, but when you do these exercises after sunset you will have your palms facing downwards because then you come under The influence of The moon.

‘But now let us repeat that you have to find your pulse. You place your fingers on your left wrist so that you determine your pulse count, so that you may know for how long you can breathe in or breathe out. The average will be one, two, three, four (in), one, two, three, four (out). Say this to yourself out loud six or seven times, and then get The actual beat fixed firmly in your mind so that when you are not feeling your pulse you are still quite able to sense what your pulse beat is. This will take a few days of practice and after you have practiced it for a few days you will find that you can tell your pulse count by a vibration within your body, you will not have to feel your pulse any more. ‘First of all you must inhale, always, of course, with The mouth closed. You inhale deeply to The count of four. It is vital that you breathe in absolutely smoothly without any jerks whatever. Beginners tend to draw in breaths to The count of four and that is harmful; they must breathe in smoothly at The count, The mental count, of four. Then when you have counted four you should have a complete lungful of breath, so then you breathe out to a count of four pulses. Do this for a time, and after several days you will be able to take in air for more than four pulses, you may be able to do six or eight. But you should never force yourself, always do it so that it is well within your capabilities.’ The Lama looked around and studied The small boys, The monks, and The Lamas all sitting there, all with their palms facing upwards, all breathing in their own particular rhythm. The Lama nodded his satisfaction and raised his hand for them to cease The exercise. ‘Now,’ he said, ‘we will do The next stage of this because we do precisely as you have been doing but now after inhaling you will retain your breath. First of all, then, let us inhale for four heartbeats. Then you will retain that breath for two heartbeats, and you will then exhale over another four heartbeats. The purpose of this particular matter, of this particular breathing pattern, is to purify The blood. It also helps increase The good condition of The stomach and The liver. It strengthens The nervous system when carried out properly. Remember, too, that our basic is four, two, four. That is merely an average, you must not be a slave to these. Your average could easily be six, three, six, or five, three, five. It is exactly that which is most suitable and most strain-free for you.’ He stood watching while The assembly breathed in, retained their breath, and breathed out. He watched them do it ten, twenty, twenty-five times. Then, again nodding his satisfaction, he held up his hand. ‘Now we will go a step farther. I have seen particularly among The younger men examples of poor posture. You men and boys just slouching around. Now, that makes for bad health. When you are walking you should walk to your heartbeat and to your breath. Let us practice it this way; first you must stand erect, not bending over forwards, not tottering over backwards—erect, with your feet together and with your spine straight. First exhale as much as you can, squeeze every bit of air out of your lungs. Then start to walk and at The same instant take a really deep breath. It doesn't matter if you use The left foot or The right foot, but make sure it is a really deep breath. At The same time take a slow rhythmic step. You will walk in time to your heartbeat. You are going to inhale over four heartbeats. During that time you will take four steps. But then you have to take four more steps over The four heartbeats which it takes to exhale. Do this for six consecutive sets of four, but remember with particular care that your breathing must be absolutely smooth, it must not be done in pattern with your steps; that is, you do not pump breath in, in four steps as you walk, you should inhale as smoothly as you can.’ The High Lama from Lhasa suppressed a secret smile of amusement as he watched boys, monks, and lamas strutting around trying to carry out The breathing exercises. But satisfied that they were doing it correctly he said, ‘Now let us remember that there are many systems of breathing and we have to breathe in a manner which will enable us to fulfill a certain task because breathing is more than stuffing our lungs with air. Correct breathing can refresh us and can actually tone up our organs. The breathing system I have been showing you is known as The complete breathing system. It is a breathing system which purifies The blood, it helps The stomach and other organs. It also helps to overcome colds.’ He stopped and looked around at certain sniffers, and resumed, ‘Here in this, The lowland of Tibet, colds are rife, and nothing much seems to have been done about it. By using that correct breathing system which I have been teaching you, you can overcome colds. Now here is another system in which you will retain your breath for longer than normal. Sit down, please, with your spine erect, but The rest of you relaxed.’ He stood waiting while The men settled themselves again, arranged their robes around them, and sat with their palms facing upwards. Then he resumed: ‘First of all you will do your complete breath, that is, that which we have been doing so far. Then you will retain The air as long as you can without any strain. After that you will exhale through The open mouth rather vigorously as if The air is distasteful, as if you are trying to shoot it away from you as violently as you can. So, let us have it again; first you inhale for four heartbeats. Then you retain The air which you have just inhaled for as long as you can without suffering discomfort. Next you expel The air as vigorously as you can through The open mouth. You will find if you do this a few times that your health will definitely improve.’ The Lama stood watching his pupils making sure that they were doing it correctly: Then spotting one elderly man turning a bluish colour he hastened to him and said, ‘Now, my brother you have been trying too hard. All these exercises must be done in a natural manner, in an easy manner. There must be no strain, there must be no effort in it. To breathe is natural and if there is effort or strain then you are not getting good effects from that breathing. You, my brother, are using The wrong rhythm. You are trying to force yourself to take in more air than elderly lungs can take in. Be careful, do all this easily, without strain, and you will feel better.’ So for The morning The boys, The monks, and The Lamas did their breathing exercises. At last, to The delight of The young acolyte, The lessons were ended and he and The others were free to go out again into The open where The noontime sun was now striking down into The valley, lighting up The gloom and, unfortunately, increasing The heat. Insects buzzed vigorously around, and The poor young acolyte jumped and jumped again as insects to which he was not accustomed attacked him in The most vulnerable portions of his anatomy.
 
Mzizimkavu,kwanza umeandika kuhusu faida ya maji ya limau,sasa unaandika kuhusu faida za ukwaju. Good luck. Lakini if it is health that you want,the key word is pranayama.
For some time The Lama gave basic instructions and then he said, ‘I must emphasize again that it is not at all necessary for you to sit in The Lotus Position or to sit in any position which is uncomfortable. You must at all times sit in a position which is comfortable, a position where in your spine is erect, because only then can you derive The maximum benefit. Remember, also, that by day you sit with your palms upwards so that you may absorb The good influences of The sun throughout The day, but when you do these exercises after sunset you will have your palms facing downwards because then you come under The influence of The moon.

‘But now let us repeat that you have to find your pulse. You place your fingers on your left wrist so that you determine your pulse count, so that you may know for how long you can breathe in or breathe out. The average will be one, two, three, four (in), one, two, three, four (out). Say this to yourself out loud six or seven times, and then get The actual beat fixed firmly in your mind so that when you are not feeling your pulse you are still quite able to sense what your pulse beat is. This will take a few days of practice and after you have practiced it for a few days you will find that you can tell your pulse count by a vibration within your body, you will not have to feel your pulse any more. ‘First of all you must inhale, always, of course, with The mouth closed. You inhale deeply to The count of four. It is vital that you breathe in absolutely smoothly without any jerks whatever. Beginners tend to draw in breaths to The count of four and that is harmful; they must breathe in smoothly at The count, The mental count, of four. Then when you have counted four you should have a complete lungful of breath, so then you breathe out to a count of four pulses. Do this for a time, and after several days you will be able to take in air for more than four pulses, you may be able to do six or eight. But you should never force yourself, always do it so that it is well within your capabilities.' The Lama looked around and studied The small boys, The monks, and The Lamas all sitting there, all with their palms facing upwards, all breathing in their own particular rhythm. The Lama nodded his satisfaction and raised his hand for them to cease The exercise. ‘Now,' he said, ‘we will do The next stage of this because we do precisely as you have been doing but now after inhaling you will retain your breath. First of all, then, let us inhale for four heartbeats. Then you will retain that breath for two heartbeats, and you will then exhale over another four heartbeats. The purpose of this particular matter, of this particular breathing pattern, is to purify The blood. It also helps increase The good condition of The stomach and The liver. It strengthens The nervous system when carried out properly. Remember, too, that our basic is four, two, four. That is merely an average, you must not be a slave to these. Your average could easily be six, three, six, or five, three, five. It is exactly that which is most suitable and most strain-free for you.' He stood watching while The assembly breathed in, retained their breath, and breathed out. He watched them do it ten, twenty, twenty-five times. Then, again nodding his satisfaction, he held up his hand. ‘Now we will go a step farther. I have seen particularly among The younger men examples of poor posture. You men and boys just slouching around. Now, that makes for bad health. When you are walking you should walk to your heartbeat and to your breath. Let us practice it this way; first you must stand erect, not bending over forwards, not tottering over backwards-erect, with your feet together and with your spine straight. First exhale as much as you can, squeeze every bit of air out of your lungs. Then start to walk and at The same instant take a really deep breath. It doesn't matter if you use The left foot or The right foot, but make sure it is a really deep breath. At The same time take a slow rhythmic step. You will walk in time to your heartbeat. You are going to inhale over four heartbeats. During that time you will take four steps. But then you have to take four more steps over The four heartbeats which it takes to exhale. Do this for six consecutive sets of four, but remember with particular care that your breathing must be absolutely smooth, it must not be done in pattern with your steps; that is, you do not pump breath in, in four steps as you walk, you should inhale as smoothly as you can.' The High Lama from Lhasa suppressed a secret smile of amusement as he watched boys, monks, and lamas strutting around trying to carry out The breathing exercises. But satisfied that they were doing it correctly he said, ‘Now let us remember that there are many systems of breathing and we have to breathe in a manner which will enable us to fulfill a certain task because breathing is more than stuffing our lungs with air. Correct breathing can refresh us and can actually tone up our organs. The breathing system I have been showing you is known as The complete breathing system. It is a breathing system which purifies The blood, it helps The stomach and other organs. It also helps to overcome colds.' He stopped and looked around at certain sniffers, and resumed, ‘Here in this, The lowland of Tibet, colds are rife, and nothing much seems to have been done about it. By using that correct breathing system which I have been teaching you, you can overcome colds. Now here is another system in which you will retain your breath for longer than normal. Sit down, please, with your spine erect, but The rest of you relaxed.' He stood waiting while The men settled themselves again, arranged their robes around them, and sat with their palms facing upwards. Then he resumed: ‘First of all you will do your complete breath, that is, that which we have been doing so far. Then you will retain The air as long as you can without any strain. After that you will exhale through The open mouth rather vigorously as if The air is distasteful, as if you are trying to shoot it away from you as violently as you can. So, let us have it again; first you inhale for four heartbeats. Then you retain The air which you have just inhaled for as long as you can without suffering discomfort. Next you expel The air as vigorously as you can through The open mouth. You will find if you do this a few times that your health will definitely improve.' The Lama stood watching his pupils making sure that they were doing it correctly: Then spotting one elderly man turning a bluish colour he hastened to him and said, ‘Now, my brother you have been trying too hard. All these exercises must be done in a natural manner, in an easy manner. There must be no strain, there must be no effort in it. To breathe is natural and if there is effort or strain then you are not getting good effects from that breathing. You, my brother, are using The wrong rhythm. You are trying to force yourself to take in more air than elderly lungs can take in. Be careful, do all this easily, without strain, and you will feel better.' So for The morning The boys, The monks, and The Lamas did their breathing exercises. At last, to The delight of The young acolyte, The lessons were ended and he and The others were free to go out again into The open where The noontime sun was now striking down into The valley, lighting up The gloom and, unfortunately, increasing The heat. Insects buzzed vigorously around, and The poor young acolyte jumped and jumped again as insects to which he was not accustomed attacked him in The most vulnerable portions of his anatomy.
Mkuu Andrew Nyerere naona wewe sasa umetumwa na hao walikutuma uje ushindane na mimi nini?Mbona kichwa chako kigumu kuelewa?umeandika maneno kibao yasiyokuwa na faida andika kwa uchache ili watu wapate kuelewa Mkuu. Jiulize wewe kuna Daktari gani duniani akatoa ushauri wa Bure kuhus afya yako pasipo kupata pesa? niambie wewe wapi yupo huyo Daktari? anayetoa ushauri wa afya za watu bure pasipo na kupata pesa?Mimi huku nilipo kwenda kumuona Daktari lazima uwe na shillingi laki moja na elfu 50 kwa thamani ya pesa za Tanzania sawa sawa na huku dollar 100 kumuona Daktari wewe unaleta ubishi wako wa simba na Yanga.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Andrew Nyerere naona wewe sasa umetumwa na hao walikutuma uje ushindane na mimi nini?Mbona kichwa chako kigumu kuelewa?umeandika maneno kibao yasiyokuwa na faida andika kwa uchache ili watu wapate kuelewa Mkuu. Jiulize wewe kuna Daktari gani duniani akatoa ushauri wa Bure kuhus afya yako pasipo kupata pesa? niambie wewe wapi yupo huyo Daktari? anayetoa ushauri wa afya za watu bure pasipo na kupata pesa?Mimi huku nilipo kwenda kumuona Daktari lazima uwe na shillingi laki moja na elfu 50 kwa thamani ya pesa za Tanzania sawa sawa na huku dollar 100 kumuona Daktari wewe unaleta ubishi wako wa simba na Yanga.

Uko wapi sasa hivi ambapo unatoa dola mia kumuona daktari? Au upo New York? Kwa sababu hizo ndizo hela nilizotoa kumuona Daktari New York.
Kweli,Daktari akitoa ushauri mzuri,he will starve,lakini haya mambo tunapinga kwa ajili ya personal experince yetu,kwamba kula malimau na maembe mabichi,it's crazy. Even the teeth complain.
 
Uko wapi sasa hivi ambapo unatoa dola mia kumuona daktari? Au upo New York? Kwa sababu hizo ndizo hela nilizotoa kumuona Daktari New York.
Kweli,Daktari akitoa ushauri mzuri,he will starve,lakini haya mambo tunapinga kwa ajili ya personal experince yetu,kwamba kula malimau na maembe mabichi,it's crazy. Even the teeth complain.
Mkuu.@Andrew Nyerere Huo ni ushauri wa Tiba za mbadala kama nilivyokwambia Daktari hawezi kukupa ushauri eti ukitaka kupunguwa unene chemsha maji ya moto changanya na limau sio rahisi Daktari

kukwambia vitu ninavyosema mimi hakuna hata Daktari mmoja anayeweza kukupa ushauri huo Daktari

anakungojea uende Hospitali akutibu sio kukupa ushauri hapa JF. Tunapeana sisi Ushauri watu tunaopenda

kutumia Tiba Mbadala ukita ushauri wa Daktari mfuate hospitalini.
 
Mimi nina mti wa mlonge niliupanda nyumbani kwangu na umezaa kwelikweli,lakini
sijui nikusaidieje"

Halo Remsa, naona umetumwa na Mungu kunisaidia. Natafuta mbegu za mti huu wa mlonge. Nina ugonjwa wa kisukari na nafahamishwa mbegu za mti huu husaidia kukinga viungo vya mwili viharibikavyo na madhara ya ugonjwa huu. Naomba kukuuliza kama waweza nitumia kwa njia ya Posta tafadhali? Ntashukuru sana :)
 
FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU.



Tunda la Ukwaju.

Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi ambayo matumizi yake yana faida kubwa sana katika afya ya mwili wa mwanadamu.





Juisi ya Ukwaju.


NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.

Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarkets


  • andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu
  • baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni
  • uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu
  • ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe
  • andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe
  • weka sukari kwa kiasi unachopendelea
  • pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste
  • weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa


FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.



  1. Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
  2. Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
  3. Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
  4. Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
  5. Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
  6. Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
  7. Husaidia kurahisisha choo (laxative)
  8. Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
  9. Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
  10. Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)


NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!.
 
FAIDA ZA UKWAJU

attachment.php


Zifuatazo basi ni faida za ukwaju ambazo zitakushawishi siku nyingine kuagiza glasi ya juisi ya ukwaju, na kama ni 'waziri wa mambo ya ndani' ya nyumba, au una fahamiana na 'waziri husika' basi agiza aendapo gulioni asiache kuchukua fungu la ukwaju wa kutosha walao wiki kama si mwezi mzima.

Faida 10 za ukwaju:
1. Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
2. Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
3. Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
4. Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
5. Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
6. Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
7. Husaidia kurahisisha choo (laxative)
8. Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
9. Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
10. Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)

Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!
Nashukuru kwa somo zuri pia naomba msaada wa kujua dawa ya KIPANDA USO yaani kichwa kinauma kwa mbele kama kinataka kuchomoka
 
Nashukuru kwa somo zuri pia naomba msaada wa kujua dawa ya KIPANDA USO yaani kichwa kinauma kwa mbele kama kinataka kuchomoka
kabla sijakupa Dawa ya kipanda uso ninakuuliza swali moja au maswali
Je umeolewa au una Mpenzi? Unafanya mapenzi kwa wiki mara ngapi? ninaomba kwanza hayo majibu ya maswali yangu mawili.
 
yaani juisi unataka ukanywe sokoni? Si itengenezwe nyumbani?

Jinsi ya kutengeneza juisi ya ukwaju:

1. Nunua ukwaju usiomenywa maganda. Kama hauna kinyaa kama cha Nyani Ngabu nunua uliomenywa.

2. Weka kwenye chombo cha bati, bakuli ama sufuria.

3. Chemsha maji kwa jagi ama sufuria. Yakichemka kabisa, yamimine juu ya ukwaju.

4. Subiri kwa dakika kumi na koroga. Kisha chuja

5. Kutumia weka kiasi cha ukwaju kwenye shaker, ongeza sukari ama asali na ice cubes. Tikisa huku unacheza mziki uupendao (makes it easier, hauchoki lol)

6. Voilaaaa. Kituuu!
Namba moja. Tafadhali tupe kipimo -ukwaju kiasi gani?????
 
yaani juisi unataka ukanywe sokoni? Si itengenezwe nyumbani?

Jinsi ya kutengeneza juisi ya ukwaju:

1. Nunua ukwaju usiomenywa maganda. Kama hauna kinyaa kama cha Nyani Ngabu nunua uliomenywa.

2. Weka kwenye chombo cha bati, bakuli ama sufuria.

3. Chemsha maji kwa jagi ama sufuria. Yakichemka kabisa, yamimine juu ya ukwaju.

4. Subiri kwa dakika kumi na koroga. Kisha chuja

5. Kutumia weka kiasi cha ukwaju kwenye shaker, ongeza sukari ama asali na ice cubes. Tikisa huku unacheza mziki uupendao (makes it easier, hauchoki lol)

6. Voilaaaa. Kituuu!

Mkuu hapo kwenye red sijakuelewa, huo ukwaju ukiwa na maganda yake au uliomenywa! Nimekuwa interested nataka nimuagize Nchimbi wangu akanunue mikwaju ya kutosha!
 
kabla sijakupa Dawa ya kipanda uso ninakuuliza swali moja au maswali
Je umeolewa au una Mpenzi? Unafanya mapenzi kwa wiki mara ngapi? ninaomba kwanza hayo majibu ya maswali yangu mawili.
Nina mchumba tunaishi pamoja but mara nyingi uwa nipo mkoani so uwa tunaonana kwa mwezi tunakaa pamoja kwa wiki moja.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom