The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Inaniloquent
My GOD!!! Shindwa na ulegee
Inaniloquent
Nataka kujua hivi ngono ina faida gani zaidi ya ule utamu unaosikia wakati unakojoa/kukojolewa na kuzaa. Hivi kuna faida zaidi either kiafya, akili etc.
Nataka kujua ili kama kuna faida extra ili kuwa serious la libeneke.
Thanks
Ukishajua faida zake ukafanye ngono na yule shemeji yako anayekushikashika wakati mume wako amekwenda msalani.
NOT ENOUGH KWELI KNOWLEDGE IS POWER ,,, But hatujifunzi hivyo... kwa siku utume thread mbili zote zinahusu sex, huo mda wa kujifunza hayo unayotaka kujua unauendesha vipi... au ukituma thread huna haja na majibu... Personally nikiona hivi naacha kukuchulia serious na kuaanza kuruka thread zako...
huyu si ndie alietuambia shemeji yake huwa anamshika kwenye nanihiii.......
Sijakufunga kamba usome thread zangu, nimeuliza swali na kuna mtu ameelezea vizuri sana faida za kusex, and I wanted to know more and surely I have grasped alot so NOW I will be sexing responsibly. You can do the same if you wishy
Cheers
Not Enough
Aisee! Huyu naye ni member wa JF! tiGo nayo utasemaje? Ninapita tu...huku si kwangu.
Hahahahahah! lol! Mzima Mkuu!? Habari za siku tele!? Kwako hawajambo!?
Hahahaha.. umenisemea