Faida za ngono ni zipi

Kufanya mapenzi:::
1. Faida yake kwanza inaimarisha viungo, muscles
2. Inajenga ukaribu zaidi ya wafanyalo tendo la ndoa(wakiwa wameoana!!!)
3. Inapunguza uchovu, msongo wa mawazo
4. Ina raha isiyoelezeka
5. Inafanya uumbaji

Na nyinginezo kibao
 
Nimecheka sana! ngono inafaida kiakili, pale ukimaliza akili hutulia na kuwa sawa. Ngono pia hujenga upendo na ukaribu, udugu kwa yule umkaribiae kwa maana huwa mwili mmoja.
 
Nataka kujua hivi ngono ina faida gani zaidi ya ule utamu unaosikia wakati unakojoa/kukojolewa na kuzaa. Hivi kuna faida zaidi either kiafya, akili etc.

Nataka kujua ili kama kuna faida extra ili kuwa serious la libeneke.

Thanks

NOT ENOUGH KWELI KNOWLEDGE IS POWER ,,, But hatujifunzi hivyo... kwa siku utume thread mbili zote zinahusu sex, huo mda wa kujifunza hayo unayotaka kujua unauendesha vipi... au ukituma thread huna haja na majibu... Personally nikiona hivi naacha kukuchulia serious na kuaanza kuruka thread zako...
 
Ni kweli ngono zina umuhimu japokuwa wanadamu wana tabia ya ubinafsi katika eneo hili, imagine kwamba mtu hata awe rafiki yako mkubwa kiasi gani utamkirimia kila kitu lakini si mke/mumeo au hata mwenza asiye rasmi!

Nasikia eti zile enzi za ufalme mfalme mmoja akitoka kwenda kumtembelea mfalme mwenzie, atafanyiwa sherehe kubwa na kuandaliwa kila aina ya zawadi na kisha wakati wa kupumzika atamkabidhi mtu mwingine ( Kiburudisho kutoka miongoni mwa watendaji/ watumishi wake) lakini si katika wenza wake! ( kwa mfano King Mswathi anayeoa kila mwaka unadhani anaweza kukubali akikuta mmoja wa wakeze anachakachuliwa na mtu??

Hii ni kujaribu kujenga hoja yangu kwamba hii kitu iliumbwa kwa ajili ya kila mtu lakini sasa sisi ambao hatuna uwezo wa kughalamia ( yaani kuharalisha) huwa tunajikuta tunakula kwa macho!!!
 
NOT ENOUGH KWELI KNOWLEDGE IS POWER ,,, But hatujifunzi hivyo... kwa siku utume thread mbili zote zinahusu sex, huo mda wa kujifunza hayo unayotaka kujua unauendesha vipi... au ukituma thread huna haja na majibu... Personally nikiona hivi naacha kukuchulia serious na kuaanza kuruka thread zako...

Sijakufunga kamba usome thread zangu, nimeuliza swali na kuna mtu ameelezea vizuri sana faida za kusex, and I wanted to know more and surely I have grasped alot so NOW I will be sexing responsibly. You can do the same if you wishy

Cheers
Not Enough
 
Bravo!!!

The Following User Says Thank You to NOT ENOUGH For This Useful Post:

Asha D (Today)​
 
Huyu mwana JF vipi hajui tena faia za ngono?kwani ngono si ni dhambi na faida yake ni mauti........
 
na hasara pia zipo,kuna gonjwa la kaswende,gono,ngoma,muwasha/michubuko ni balaa tupu haya magonjwa
 
Hahahaha.. umenisemea

Hilo jicho duh,mbona ntakua nakiliza kila siku
ili tu........
avatar3710_2.gif
 
Back
Top Bottom