Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 578
- 2,613
mwekundu nautumia sana kwenye lishe ya mtoto naskia unaongeza uwezo wa kumbukumbuMtama upi mzuri kati ya mtama mweupe na mwekundu?
Binafsi huwa ninaupenda mwekunduMtama upi mzuri kati ya mtama mweupe na mwekundu?
Mbona Wagogo ambao ni walaji wakubwa wa mtama hawana hizo kumbukumbu ?mwekundu nautumia sana kwenye lishe ya mtoto naskia unaongeza uwezo wa kumbukumbu
Wagogo wanakula uwele siyo mtamaMbona Wagogo ambao ni walaji wakubwa wa mtama hawana hizo kumbukumbu ?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hapa nimemkumbuka mgogo mmoja aliyesahau historia ya YESU na kusema alikuwa na mkeMbona Wagogo ambao ni walaji wakubwa wa mtama hawana hizo kumbukumbu ?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hapa nimemkumbuka mgogo mmoja aliyesahau historia ya YESU na kusema alikuwa na mke
Shame on him
Hawakunawiri sababu ya mtama,walinawiri kwa sababu Mungu alikuwa nao.KiUkweli huwa ninaupenda ugali wa mtama. Hata uji wake ni mzuri sana kwa maziwa, . Vijana wa Kiebrania kina Danieli na wenzake kule Babeli walikataa kula chakula cha mfalme wakaomba kula mtama wakanawiri hata kuliko waliokula chakula cha mfalme.
JESUS IS LORD
Wanazo ila wanajisahaulisha!Mbona Wagogo ambao ni walaji wakubwa wa mtama hawana hizo kumbukumbu ?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
YustinoHapa nimemkumbuka mgogo mmoja aliyesahau historia ya YESU na kusema alikuwa na mke
Shame on him
Uwele ni mtama mkuuWagogo wanakula uwele siyo mtama
Uwele na mtama ni tofauti Mkuu!Uwele ni mtama mkuu
Uwele na mtama ni tofauti Mkuu!
Mtama ni jina la general humo humo kuna serena nyeupe/nyekundu,uwele nk hata ukienda kununua mbegu watakuuliza unataka mtama aina gani? sisi kuna aina zaidi ya aina 5 za mtama ukiwemo na uweleUwele na mtama ni tofauti Mkuu!