Faida za kutumia vitunguu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida za kutumia vitunguu

Discussion in 'JF Doctor' started by Elizaa, Mar 6, 2012.

 1. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tumekuwa tukitumia vitunguu kwa muda mrefu kwenye jamii zetu. Na vitunguu vinavyotumika ni vya mviringo yaani vitunguu maji. Na ndio vitunguu vinavyofahamika au kutambulika kama Bulb of Allium cepa. Huwa havirefuki sana vikiwa shambani. Vitunguu hivi vinatofautishwa kwa kuwa vina thiosulfinates, Sulfides, Sulfoxides na aina nyingine ya Odoriferous Sulfur Compound.


  Kuna nyingi za vitunguu kana vyekundu, vyeupe, na vya kijani. Kila kimoja kina ladha yake. Vingine vyenye ukali sana na vingine kiasi na vingine vitamu. Vitunguu vinaweza kuliwa vibichi au vimepikwa. Unaweza kukaanga, kukausha, kuchemsha au kutumia kama kiongeza ladha kwenye chakula.
  [​IMG]

  Vitunguu maji vina kiasi fulani cha Sulfides sawa na ile inayopatikana kwenye kitunguu saumu. Ambayo inaweza kupunguza blood pressure. Katika utafiti uliofanyika huko India kwenye jamii ambazo hazitumii vitunguu na hazijawahi kutumia vitunguu walisumbuliwa sana na blood cholesterol na triglyceride kuwa juu pamoja na matatizo ya damu kuliko wenzao ambao walikua wanatumia na kula vitunguu maji na saumu kwa wingi.


  Vitunguu vina Flovonoids ambayo ni kiungo ambacho kinatoa kinga ya magonjwa kama Cardiovascular, kitunguu ni natural anticlotting agent


  Wakati unakata kitunguu kina tabia ya kukusababisha utoe machozi au ulie, hii inasababishwa na kuvunjika kwa cell iliyoko kwenye kitunguu. Cell za vitunguu ziko za aina mbili moja no enzymes inayoitwa allinases na nyingine ni sulfides.
  [​IMG]

  Enzymes inavunja Sulfides na inatengeneza Sulfenic Acid na Sulfenic Acid inashindwa kuwa imara inabadilika kuwa gas ambayo kitaalam inaitwa syn-ropanethial-S-oxide na hiyo gas inachanganyika na hewa moja kwa moja na inaingiliana na maji maji na inatengeneza Sulfuric Acid. Hiyo Sulfuric Acid inaleta msuguano wa nerve na unaishia machoni making them sting. Tear gland inatoa machozi kama matokeo ya msuguano.


  Matumizi ya vitunguu kwa kawaida ni kwa kupikia, ni kiungo kikubwa kwa vyakula vingi, hata hivyo watumiaji wengi hawajui kuwa pamoja na chakula pia ni dawa. Na ni dawa ya magonjwa mengi yanayotusumbua kila siku. Yamkini kama tungejua haya mapema tusingepoteza pesa nyingi kwa matibabu na kutumia madawa yanayotuleta side effects nyingi ambazo zinageuka kuwa magonjwa sugu. Mafano ni magonjwa ya ini.


  MATUMIZI YA KITUNGUU KAMA DAWA:
  Kitunguu hutumika kama diuretic, expectorant na antiseptic.
  Tunashauriwa kula vitunguu kama kinga ya magonjwa kama Cordiovascular, cancer na infections. Mara nyingine vinasaidia magonjwa kama mafua, magonjwa ya moyo, kisukari, na magonjwa mengine mengi. Vitunguu vimebeba anti inflammatory, anti-cholesterol, na anti cancer.


  Vitunguu vina compound ambayo inaonekana kuwa na uwezo wa kuzuia ukuaji wa cell za cancer, kupambana na magonjwa ya moyo, vinazuia stroke, lower blood pressure, cholesterol na vinaongeza kinga ya mwili. Pia vina kiasi fulani cha antibacterial na antifungal. Vina uwezo wa kupunguza maumivu ya tumbo la kuvimbiwa au kula chakula kibaya (upset stomach) pia vinasaidia tumbo lilojaa gas.Kama ilivyo kwa vitunguu saumu, kitunguu kinazuia thrombosis na hypertension.


  Chembe chembe za vitunguu ambazo sulfides, zinazuia uvimbe uvimbe kukua ( tumor growth) vinapunguza kabisa cancer ya tumbo. Tafiti nyingi zinaonyesha matumizi makubwa ya vitunguu maji na vitunguu saumu na aina zingine za mbogamboga zenye allium herbs zinaweza kuzuia kabisa kupata cancer ya tumbo. Vitunguu na mbogamboga zenye allium species zina herbal na dawa nyingi sana na faida zake tunaziona baada ya kutumia kwa muda mrefu na kwa wingi.


  Kitunguu kinaweza kuwa kinganzuri ya ugonjwa wa cardiovascular haswa wakati blood clots inakuwa katika risk.


  Vitunguu vinakukinga na infections , vinaweza kuongeza utendaji kazi wa mapafu haswa kwa watu wenye asthma.
  [​IMG]

  MEDICAL CONSULTATION

  Kama unataka majibu na suluhisho la matatizo yako kiafya!


  Fanya appointment na Dr Johnny P. Brinkmann


  Atakuwepo Dar es salaam kuanzia tarehe 18/04/2012 mpaka tarehe 21/04/2012 akiwa na vifaa maalum na vya kisasa kabisa Meridian Imaging equipment. Vyenye uwezo wa kuweka wazi matatizo uliyonayo kiafya au kwenye organ. Hii ni pamoja na spine, Kifaa hiki ni kimoja tu hapa East Africa Imported from USA.


  Fanya booking mapema nafasi ni chache. Email yetu ni cornwellquality@gmail.com


  Note: Ni watu 60 tu wa mwanzo wakuwa confimed. Hatutapokea watu ambao hawakuwa wamebook kabla ya hiyo siku.


  Ni siku nne tu 18/04/2012 mpaka 21/04/2012


  http://www.cornwelltanzania.com/2012/03/benefits-of-use-of-onion.html#links
   
 2. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Shule nzuri imeturia thnx
   
 3. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 4. Nkabahati

  Nkabahati Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa shule
   
 5. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Karibuni, soon tunafungua Health care mjini Dar es salaam.
   
 6. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  thanx be blecd
   
Loading...