Faida za kuto-kuoa

Faida za kuto-kuoa

Kweli kizazi cha leo ni hovyo sana,,mm siungi mkono hoja,yawezekana mtoa mada ni mtoto aliyepatikana nyumba za wageni,,kama sivyo je baba yako hakuoa?na kama alioa kwa nini wewe usioe?nashauri usipotoshe wenzio maana kuoa kuna faida nyingi kuliko hasara,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikakuuliza unafikiri penzi sio chochote? Penzi ni kubwa sana ndio maana mwanaume yuko radhi kutoa pesa ili alipate na akilikosa basi hubaka. Kwahiyo usilichukulie penzi kirahisi rahisi.

Ukishapewa penzi haitakiwi hata utake mengine, hayo mengine ukipewa basi ni bonus na inatakiwa ushukuru mnooooo.
MNA,mengine yapi nyie ...

From profile picture to proper future
 
Nipo hapa kwa ajili ya Michango ya WADAU
 
Kweli kizazi cha leo ni hovyo sana,,mm siungi mkono hoja,yawezekana mtoa mada ni mtoto aliyepatikana nyumba za wageni,,kama sivyo je baba yako hakuoa?na kama alioa kwa nini wewe usioe?nashauri usipotoshe wenzio maana kuoa kuna faida nyingi kuliko hasara,

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajie faida chache zenye ushawishi
 
Write your reply...Uvivu wa kuelewa mambo tu. mimi cjaoa ila natamani nioe hata mwaka huu japo bado cjampata wa kumuoa ila i really need to get me a good wife
 
Ndio maana nikakuuliza unafikiri penzi sio chochote? Penzi ni kubwa sana ndio maana mwanaume yuko radhi kutoa pesa ili alipate na akilikosa basi hubaka. Kwahiyo usilichukulie penzi kirahisi rahisi.

Ukishapewa penzi haitakiwi hata utake mengine, hayo mengine ukipewa basi ni bonus na inatakiwa ushukuru mnooooo.

SEX na PENZI ni vitu 2 tofauti mbona mgumu KUEKEWA WW
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom