St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,195
Inaepusha kufanywa Kikokoto na wakwe zako.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mkuu yule jamaa kapotelea wapi wa vitunguu swaumu 🤣🤣Vitunguu swaumu vya kawetere huvi ptuu
Kuna faida nyingi sana na kubwa mno za mwanaume kuto kuoa ukilinganisha na zile za kuoa.
Hapa nitawekea chache tu.
1. Utaepukana na bughudha za mke za kila siku.
2. Utakuwa unakula k mpya kila wiki, au kila mwezi kama uchumi wako ni duni.
3. Utaiepuka jela inayosababishwa na kuua mke kwa kichapo
4. Utaepuka kugeuzwa bodi ya mikopo ya elimu kwa kusomesha mashemeji.
5. Utaepuka adha ya nyumba yako kugeuzwa banda la kupokelea wageni hasa toka upande wa mke
6. Utaepuka hatari ya kuwahishwa mbinguni na mke
7. Ukibahatika kupata mtoto/watoto bibi ndiye analea.
8. Ongezea ......
Unamfahamu Diamond? Unaona anavyo watafuna na kuwatema? Pamoja na hela zske nyingi hataki kuweka kambi na mke..We unaonekana ni mbinafsi alafu nafsi yako ya kiume itakua aijakamilika vizur una vina saba vya kike mwanaume kamili asili ni kumiliki yani uwe na gari unamiliki uwe na nyumba pesa kwel we una kasoro ushindwe kumiliki mwanamke mana hela kichocheo ila maneno matamu na mahaba kitandan ata mwanamke awe anapiga kelele vp kwa ukali akisikia sauti la mtuanae mtafuna vizur basi utulia na kua mpole kama we unatabia za kike utaona yule mwenzio utakua unafukuza kila siku ata kama unawapanga basi ni kutaka kuonyesha we ni kamili ila mashine yako ainatofauti na kidole tu basi mwanaume kaza jitambue ata kama utakula nje ila ukimili ndani na kuweza kumtuliza we ndo kidume na sio kubadili tutajuaje labda we usimamishi vizur kwaiyo unawalamba kwa ulimi ndo mana wanasepa na utaki ukae nao kwa muda mrefu jitafakari mwanaume kamili ni kumiliki mke ndani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unamfahamu Diamond? Unaona anavyo watafuna na kuwatema? Pamoja na hela zske nyingi hataki kuweka kambi na mke..
Kwahiyo unaoa ili ukija kupata majanga mke akusaidie? Ni wangapi wamekimbiwa na wake zao baada ya kushuka kiuchumi tu, achilia mbali kuugua ama kupata ulemavu?Ngoja apate majanga uje useme tena ivo ivo kwaiyo akila unga na we utamuiga naona we unakua under 20s ndo mana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna namna nyingine mkuu
Acha kufikiri ukipata tatizo utakuwa salama eti kwakuwa mkeo atakusaidia, wanakimbiaga hao brother,, unatakiwa uamini kuwa hata ukifa leo huyo mkeo hatachukua muda ataolewa tena.Ngoja apate majanga uje useme tena ivo ivo kwaiyo akila unga na we utamuiga naona we unakua under 20s ndo mana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bonge la jibu hili mkuu. Kuna watu wanaoa wakidhani mke atakuwa msaada wakati wa matatizo. Kumbe hawa viumbe huwa wa kwanza kutelekeza waume waoAcha kufikiri ukipata tatizo utakuwa salama eti kwakuwa mkeo atakusaidia, wanakimbiaga hao brother,, unatakiwa uamini kuwa hata ukifa leo huyo mkeo hatachukua muda ataolewa tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa hawatakiwi kuoa!Kuna faida nyingi sana na kubwa mno za mwanaume kuto kuoa ukilinganisha na zile za kuoa.
Hapa nitawekea chache tu.
1. Utaepukana na bughudha za mke za kila siku.
2. Utakuwa unakula k mpya kila wiki, au kila mwezi kama uchumi wako ni duni.
3. Utaiepuka jela inayosababishwa na kuua mke kwa kichapo
4. Utaepuka kugeuzwa bodi ya mikopo ya elimu kwa kusomesha mashemeji.
5. Utaepuka adha ya nyumba yako kugeuzwa banda la kupokelea wageni hasa toka upande wa mke
6. Utaepuka hatari ya kuwahishwa mbinguni na mke
7. Ukibahatika kupata mtoto/watoto bibi ndiye analea.
8. Ongezea ......
NB. Wanaume wenye sura mbovu, wasio na hela wasiofanya majamboz sawasawa ndiyo hupendelea kuoa. Lkn kama unatakwa na kila mwanamke unaoa ili iweje?
Kuna faida nyingi sana na kubwa mno za mwanaume kuto kuoa ukilinganisha na zile za kuoa.
Hapa nitawekea chache tu.
1. Utaepukana na bughudha za mke za kila siku.
2. Utakuwa unakula k mpya kila wiki, au kila mwezi kama uchumi wako ni duni.
3. Utaiepuka jela inayosababishwa na kuua mke kwa kichapo
4. Utaepuka kugeuzwa bodi ya mikopo ya elimu kwa kusomesha mashemeji.
5. Utaepuka adha ya nyumba yako kugeuzwa banda la kupokelea wageni hasa toka upande wa mke
6. Utaepuka hatari ya kuwahishwa mbinguni na mke
7. Ukibahatika kupata mtoto/watoto bibi ndiye analea.
8. Ongezea ......
NB. Wanaume wenye sura mbovu, wasio na hela wasiofanya majamboz sawasawa ndiyo hupendelea kuoa. Lkn kama unatakwa na kila mwanamke unaoa ili iweje?
Duuh! Mkuu umeniongezea sabb za kutokuoa kabisa.hawa hawatakiwi kuoa!
Mathayo 19:12 Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.
Huyo mwanamke unayemuoa ndo chanzo Cha matatizo,be carefulNgoja apate majanga uje useme tena ivo ivo kwaiyo akila unga na we utamuiga naona we unakua under 20s ndo mana
Sent from my iPhone using JamiiForums