Faida za kuto-kuoa

Faida za kuto-kuoa

Duuh! Mkuu umeniongezea sabb za kutokuoa kabisa.
mkuu kwani wewe hakuna riziki? kama ni hvyo hakuna shaka taji lako lipo. lakini kama mpingo upo sawa sawa hao akina mama wanauhitaji umchukue mmoja ama wanne waweke ndani wahudumie!
 
Kuna faida nyingi sana na kubwa mno za mwanaume kuto kuoa ukilinganisha na zile za kuoa.

Hapa nitawekea chache tu.
1. Utaepukana na bughudha za mke za kila siku.
2. Utakuwa unakula k mpya kila wiki, au kila mwezi kama uchumi wako ni duni.
3. Utaiepuka jela inayosababishwa na kuua mke kwa kichapo
4. Utaepuka kugeuzwa bodi ya mikopo ya elimu kwa kusomesha mashemeji.
5. Utaepuka adha ya nyumba yako kugeuzwa banda la kupokelea wageni hasa toka upande wa mke
6. Utaepuka hatari ya kuwahishwa mbinguni na mke
7. Ukibahatika kupata mtoto/watoto bibi ndiye analea.
8. Ongezea ......

NB. Wanaume wenye sura mbovu, wasio na hela wasiofanya majamboz sawasawa ndiyo hupendelea kuoa. Lkn kama unatakwa na kila mwanamke unaoa ili iweje?
Mi kila nkifikiria kutokua bikra+kuchapiwa mke tu,nakosa hamu ya kuoa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanawake pasua kichwa kabisa,ni bora kama unataka kuacha chata zako tafuta wawili wazalishe basi unaendelea na maisha yako.Yaani unakuwa na ratiba zako tu"one man army" Tukutane ukubwani halafu unisumbue kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna faida kwenye kuto-kuoa, ni hasara na uharibifu. Tamaa za mwili zisikutie upofu wa akili,unless wewe ni hanithi au ni bwabwa. Kwanza hapa nina wasiwasi kama marinda bado unayo
 
Hakuna kitu ambacho mwanamke atakupa kwenye ndoa zaidi ya papuchi, mengine atakayokupa Ni matatizo,Tena papuchi yenyewe Hana uwezo wa kukupa kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona ee!?? Sasa ya nn kufuga matatizo wakati papuchi ziko tele zama hizi.

Watu wamekariri kuoa kwa kuwa mababu na baba zao walioa. Wamesahau kwamba zama za mababu kupata papuchi ya kuchepuka nayo ilikuwa ngumu sana.
 
Hakuna faida kwenye kuto-kuoa, ni hasara na uharibifu. Tamaa za mwili zisikutie upofu wa akili,unless wewe ni hanithi au ni bwabwa. Kwanza hapa nina wasiwasi kama marinda bado unayo
Kama unazijua faida za kuoa zitaje, usiishie kutoa povu tu.

Sasa uhanithi na kutokuoa wapi na wapi? Kwasabb urijali na kutokuoa ndiyo pete na kidole ktk nyakati hizi. Papuchi ni za kumwaga.
 
Kama unazijua faida za kuoa zitaje, usiishie kutoa povu tu.

Sasa uhanithi na kutokuoa wapi na wapi? Kwasabb urijali na kutokuoa ndiyo pete na kidole ktk nyakati hizi. Papuchi ni za kumwaga.
Kama wewe ni kijana wa kiume ambaye ni zao la ndoa na haujui faida za kuoa, basi nina wasi wasi na jinsia yako.
 
Kama wewe ni kijana wa kiume ambaye ni zao la ndoa na haujui faida za kuoa, basi nina wasi wasi na jinsia yako.
Kama faida ya ndoa ni kupata mtoto basi mm sitaoa kamwe. Maana nina mtoto niliyempata kwenye papuchi ninazopiga. Na bado kuna wajinga kibao huwa wananitegeshea nawaambi katoe
 
Kama faida ya ndoa ni kupata mtoto basi mm sitaoa kamwe. Maana nina mtoto niliyempata kwenye papuchi ninazopiga. Na bado kuna wajinga kibao huwa wananitegeshea nawaambi katoe
Utoto unakusumbua, ukikua utaacha huo upimbi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom