Faida za kuto-kuoa

Faida za kuto-kuoa

1.utaepuka kuumizwa
2.utaepuka kuletewa ukimwi
3.nyodo utazisikia tu kwa jirani.hutofanyiwa dharau na demu
4.hutotoa pesa za saloon na shopping
5.utalala alone li kitanda likubwaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubinafsi litanda kubwa hilo ukishalala peke yako litasaidia nini ?
You will die lonely ongeza hio kwa list yako, mkishazeeka stroke zikiwapiga mavi mtaoshwa na nani mazafantaz nyie! (Msonyo)

Kama unadhani mkeo atakuosha ukiizeeka unajidanganya mchana kweupe. Mke anaweza kufa kabla yako. Ama anaweza kusepa hata kabla hamjazeeka
 
Maradhi hayachagui mkuu what if wife ndo akawa anamatatizo hivyo ukalazimika kumuuguza for a long time and then at the end of the day ukabaki peke yako.

Ubinafsi litanda kubwa hilo ukishalala peke yako litasaidia nini ?
You will die lonely ongeza hio kwa list yako, mkishazeeka stroke zikiwapiga mavi mtaoshwa na nani mazafantaz nyie! (Msonyo)

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maradhi hayachagui mkuu what if wife ndo akawa anamatatizo hivyo ukalazimika kumuuguza for a long time and then at the end of the day ukabaki peke yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana. Bora umemwambia mkuu. Sote hatujui kesho yetu itakuwaje na ni dhambi kumtumainia mwanadamu. Wapo waliokuwa wameoa wake 6 lkn wakafa peke yao.
 
Acha kufikiri ukipata tatizo utakuwa salama eti kwakuwa mkeo atakusaidia, wanakimbiaga hao brother,, unatakiwa uamini kuwa hata ukifa leo huyo mkeo hatachukua muda ataolewa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kijana unadhan unavyoishi we na mwanamke basi tabu unazozipata we basi wote upata ivo apana ngoja ujakua bado ukikua utaelewa bado mtoto mdogo sana ujakomaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwahiyo unaoa ili ukija kupata majanga mke akusaidie? Ni wangapi wamekimbiwa na wake zao baada ya kushuka kiuchumi tu, achilia mbali kuugua ama kupata ulemavu?

Ndugu yangu, imeandikwa "amelaaniwa MTU yule amtegemeae mwanadamu". Mke anakupenda ukiwa bado hujapata changamoto ya kiuchumi na kiafya. Kqma unabisha jifanye kama unajikuna.

Kitabu icho icho kinawaunganisha kwenye shida na raha hadi kifo kwakua baba ako alikiwa au na we pia umepimbiwa kwenye ahusiano basi wote yatakua ivo ndugu kama ndoa imekushinda waachie wengine wenye kuiweza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kijana unadhan unavyoishi we na mwanamke basi tabu unazozipata we basi wote upata ivo apana ngoja ujakua bado ukikua utaelewa bado mtoto mdogo sana ujakomaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ndugu tabia ya mwanadamu ni kama hali ya hewa. Usitambe kwamba kwa tabia ya mkeo ni nzuri leo basi itaendelea kuwa nzuri kesho na utakapo pata majanga. Hiyo inabaki kuwa siri ya Mungu.
 
Kwahiyo nawe ni mchoyo?

Ila kuna ukweli aisee maana hata alivyoorodhesha ni uchoyo uliotukuka.

90% of ladies have nothing to offer unless sex and 90% of ladies find no reason of being in a relationship unless money is involved
 
Do you think sex is nothing?
 
Wewe ndugu tabia ya mwanadamu ni kama hali ya hewa. Usitambe kwamba kwa tabia ya mkeo ni nzuri leo basi itaendelea kuwa nzuri kesho na utakapo pata majanga. Hiyo inabaki kuwa siri ya Mungu.
Hayo mengine huwa ni dua la kuku tu, kama kwako kunaungua pambana tu na hali yako.
 
Do you think sex is nothing?
UMEELEWA NILICHO ANDIKA? UFAFANUZI, WANAWAKE HAWANA KITU KINGINE CHOCHOTE CHA KUKITOA KATIKA MAHUSIANO KAMA SIO KUTOA PENZI NA VILE VILE MWANAMKE HAONI FAIDA ZA KUWA KATIKA USUHIANO NA MTU MWANAUME KAMA MTU HUYO HATAKUA NA FEDHA
 
Wewe ndugu tabia ya mwanadamu ni kama hali ya hewa. Usitambe kwamba kwa tabia ya mkeo ni nzuri leo basi itaendelea kuwa nzuri kesho na utakapo pata majanga. Hiyo inabaki kuwa siri ya Mungu.

Ndugu yng umekariri maisha sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
UMEELEWA NILICHO ANDIKA? UFAFANUZI, WANAWAKE HAWANA KITU KINGINE CHOCHOTE CHA KUKITOA KATIKA MAHUSIANO KAMA SIO KUTOA PENZI NA VILE VILE MWANAMKE HAONI FAIDA ZA KUWA KATIKA USUHIANO NA MTU MWANAUME KAMA MTU HUYO HATAKUA NA FEDHA
Ndio maana nikakuuliza unafikiri penzi sio chochote? Penzi ni kubwa sana ndio maana mwanaume yuko radhi kutoa pesa ili alipate na akilikosa basi hubaka. Kwahiyo usilichukulie penzi kirahisi rahisi.

Ukishapewa penzi haitakiwi hata utake mengine, hayo mengine ukipewa basi ni bonus na inatakiwa ushukuru mnooooo.
 
Ukiumwa mama atakuchambisha Huna mke atafua chupi na na shuka zako Huna mke badili mawazo oa mke/mme ndio wanatunziana siri zao hata kujambiana usiku kila mmoja anafahamu ushuzi wa mwenzie oa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikakuuliza unafikiri penzi sio chochote? Penzi ni kubwa sana ndio maana mwanaume yuko radhi kutoa pesa ili alipate na akilikosa basi hubaka. Kwahiyo usilichukulie penzi kirahisi rahisi.

Ukishapewa penzi haitakiwi hata utake mengine, hayo mengine ukipewa basi ni bonus na inatakiwa ushukuru mnooooo.
KWAHIYO WANAWAKE NI CHOMBO CHA STAREHE TU
 
>utakuwa free saana >utafanya maendeleo muda mwingi co ku solve migogoro> lkn hutakuwa na mawazo ya kikubwa utajiona mtoto mfano faida ulizotoa ni empty bottle kabsa,jitahd uoe japo mademu wengi ni hapa kule,tuliza kichwa utapata mzuri,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom