Faida za kuto-kuoa

Faida za kuto-kuoa

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,640
Reaction score
65,112
Kuna faida nyingi sana na kubwa mno za mwanaume kuto kuoa ukilinganisha na zile za kuoa.

Hapa nitawekea chache tu.
1. Utaepukana na bughudha za mke za kila siku.
2. Utakuwa unakula k mpya kila wiki, au kila mwezi kama uchumi wako ni duni.
3. Utaiepuka jela inayosababishwa na kuua mke kwa kichapo
4. Utaepuka kugeuzwa bodi ya mikopo ya elimu kwa kusomesha mashemeji.
5. Utaepuka adha ya nyumba yako kugeuzwa banda la kupokelea wageni hasa toka upande wa mke
6. Utaepuka hatari ya kuwahishwa mbinguni na mke
7. Ukibahatika kupata mtoto/watoto bibi ndiye analea.
8. Ongezea ......

NB. Wanaume wenye sura mbovu, wasio na hela wasiofanya majamboz sawasawa ndiyo hupendelea kuoa. Lkn kama unatakwa na kila mwanamke unaoa ili iweje?
 
Hahaha! Mkuu, mapdre wapo wenye 35 lkn wanaheshimika kama wakubwa wenye busara
Tusiwaongelee wao,wanaweza kuwa na njia zao za kupunguza hizo protein,bila kufanya hivyo akili lazima zifyatuke.Unakuta mtu mzima anaongea mambo ya kitoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom