Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 752
weee atakuomba mtandao pendwa uleeeeekaka jambazi akinivamia namtisha .. ha ahhaha najimwanua mwanuuu ataogopa
weee atakuomba mtandao pendwa uleeeeekaka jambazi akinivamia namtisha .. ha ahhaha najimwanua mwanuuu ataogopa
Bora umeanza na 'INASADIKIKA' na asiyesadiki?Kwa mwanamke kulala Uchi wa mnyama, ni Hatari kwa afya yake kwenye Ulimwengu wa Roho. Inasadikika kuwa asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wanao lala Uchi, licha ya kuingiliwa na Majini Mahaba, pia ndio Muda pekee Spiritual Husbands hupata nafasi ya kuwasawili Maumbile yao na wakigundua kuwa wanavutiwa kimaumbile, basi hawa spiritual Husbands huamua kufanya Makazi ya kudumu kwenye Mwili wako wewe dada.
Mara baada ya Huyu spiritual Husband kuhamia na kufanya Makazi kwenye Mwili wako, hutoka na kwenda kuwasimulia wenzake. Kinachofutia. Hukaribishana na kuanza kukuzalisha Spiritual Kids
Ndio maaana Baadhi ya wanawake usiku huota wakiwanyonyesha watoto usiku, huku kiuhalisia akiwa Hana
Uko mkoa gani? Mbeya haiwezekani.basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
hapo itabidi nijiokoeweee atakuomba mtandao pendwa uleeeee
LIKE yako mkuubasi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
asa ndo uanze kulala na nguo sasahapo itabidi nijiokoe
huku kwenye majoto mkuuUko mkoa gani? Mbeya haiwezekani.
Mmh shemeji akitaka mzigo ni kugusa tu kama anamsukuma mlevi..basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
sawa mkuuasa ndo uanze kulala na nguo sasa
ndiyo maana yakeMmh shemeji akitaka mzigo ni kugusa tu kama anamsukuma mlevi..
Hivi ukijifunika shuka bila kuvaa chochote bado unakuwa umelala uchi?kulala uchi vizuri ila huambatana na ndoto za mapenzi, mara nyingi
khee hata kwa maneno tu tayari
basi poleMiss Chagga hujui haya mambo huanzia kwenye maneno kitandani hitimisho tuuu.....
Hatari! Una kuta jitu lina mwili na kitambi kikubwa kama Le Mutuz ikitokea nyumba imewakaSiku ukivamiwa ndo utaona umuhimu wa kulala walau na bukta
Na Wakukufanya Ulale Uchi Hivyo, Unaye!! Uko Pekee Chumbani Na Kitandani!! Mhhhh!! Hata Night Dress!!!?? Tehe! Tehe! Tehe!! Akitimba Kk Jambazi, Sipati Picha!!basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
Tehe! Tehe! Tehe!!! Nomaaa!Hatari! Una kuta jitu lina mwili na kitambi kikubwa kama Le Mutuz ikitokea nyumba imewaka
Then likikurupuka usiku uchi.. si hatari hiyo jamani?
basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi