Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Naona umezungumzia faida tuu, ngoja tuangalie na hasara zake.
HASARA:
*Ikitokea janga la moto majirani wote wataona uchi wako
*Na ukivamiwa na majambazi hata kama walikuja kwa nia ya kuiba tuu alafu wakakuona uko uchi lazma wabadili gia angani na kukupanda
mkuu mtaani kwetu, kuna nyumba iliwaka usiku, baba mwenye nyumba alitoka na koti afu chini malighafi zote wazi, aliporudiwa na akili alisema yeye alikurupuka akiwa na msuli, so hajui koti kalitoa wapi?