Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
Kwa mwanamke kulala Uchi wa mnyama, ni Hatari kwa afya yake kwenye Ulimwengu wa Roho. Inasadikika kuwa asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wanao lala Uchi, licha ya kuingiliwa na Majini Mahaba, pia ndio Muda pekee Spiritual Husbands hupata nafasi ya kuwasawili Maumbile yao na wakigundua kuwa wanavutiwa kimaumbile, basi hawa spiritual Husbands huamua kufanya Makazi ya kudumu kwenye Mwili wako wewe dada unayependelea kulala Uchi wa mnyama kwa kisingizio cha Joto or something else.
Mara baada ya Huyu spiritual Husband kuhamia na kufanya Makazi kwenye Mwili wako, hutoka na kwenda kuwasimulia wenzake. Kinachofutia. Hukaribishana na kuanza kukuzalisha Spiritual Kids(Yaani ww unafanyikia kama kiwanda cha kuwazalia wao Watoto)
Ndio maaana Baadhi ya wanawake usiku huota wakiwanyonyesha watoto usiku, huku kiuhalisia akiwa Hana hata Mtoto.
Yako Mengi ya kuyaelezea hapa. Ila ngoja Mshaja JR naye aje atoe somo kuhusiana na hiki nlichokieongea hapa.