Faida za kulala uchi

Faida za kulala uchi

basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
kule kwetu kwa mchambawima usithubutu hiyo style yako....
utakuwa unaogeshwa kila siku.
 
Yaeeh! Hivi wale popobawa wa hamadi mpemba weshakufa ama?

Manake watu wamwaga lazi humu yaeeh?
 
Kwa wale wenye watoto wadogo wanaonyonya ni hatari hasa kwa mzazi wa kiume kulala Uchi.... Kwani inaweza kutokea siku mtoto akaupalamia mshumaa na kuanza kushusha mistari ikidhania ni nyonyo la mamaye so tuwe makini
 
basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
Masharti ya ndoa unayamudu, hill ndio sharti mamba moja.

Ni sababu ya kuogopa majambazi tu ndio sababu inayofanya watu wasilale uchi otherwise kwa Joto kama la Dar kulala na Nguo ni mateso haijalishi hata kama unalala peke yako.

Nadhani utaratibu Wa night dress tumeiga kwa wazungu bila kujuwa kwamba wao kwao winter ni kali sana.
 
Back
Top Bottom