Hii ni kweli kabisaPia ndizi mbivu inakata harufu ya pombe, kama umekunywa na hutaki harufu ya pombe isikike kula ndizi moja tu inatosha.
sizipendi ndizi labla za kupika i dont knw hwy
Soma hapo juu utaona anaweza kusafisha handbag yako na kiatu chako cha ngozi kwa ganda la ndizi.....hamna kutupa kitu hapo..wonderful.
sizipendi ndizi labla za kupika i dont knw hwy