BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
- Thread starter
- #101
Hahahah bas nimeacha valeUkitumia lugha ya ukali tutakuogopa
Hahahah bas nimeacha valeUkitumia lugha ya ukali tutakuogopa
Ndio hay ni mabadiliko tu maisha ya mwanadamu ila kulipinga hili ni sawa Umempinga Mungu maana biblia na vitabu vyote vya dini vinaeleza hili na kama unavyojua vitabu vya dini ndio muongozo mzuri wa Maisha yetu na kila kitu kiliandikwa humo kwa maana na kwa kuzarau mafundisho kama hayo sasa ndio tunaona matokeo mengi tofauti na mabaya kwenye ndoa zetuKilicho ondoa maana nzima ya mwanamke kuwa chini ya mwanaume ni kwakua wote ni watafutaji na mwanaume anaridhika.
Umeongea kweli mkuuNdio hay ni mabadiliko tu maisha ya mwanadamu ila kulipinga hili ni sawa Umempinga Mungu maana biblia na vitabu vyote vya dini vinaeleza hili na kama unavyojua vitabu vya dini ndio muongozo mzuri wa Maisha yetu na kila kitu kiliandikwa humo kwa maana na kwa kuzarau mafundisho kama hayo sasa ndio tunaona matokeo mengi tofauti na mabaya kwenye ndoa zetu
Hivyo hivyo vitabu vya dini vinasema mwanamke akae nyumbani na kutunza familia.Ndio hay ni mabadiliko tu maisha ya mwanadamu ila kulipinga hili ni sawa Umempinga Mungu maana biblia na vitabu vyote vya dini vinaeleza hili na kama unavyojua vitabu vya dini ndio muongozo mzuri wa Maisha yetu na kila kitu kiliandikwa humo kwa maana na kwa kuzarau mafundisho kama hayo sasa ndio tunaona matokeo mengi tofauti na mabaya kwenye ndoa zetu
hahaha..!! umetisha best eti kifuwa mbele ka panzi...shida ya binadamu mtu akikuonesha unyenyekevu basi unamuona falah unakaa kifua mbele kama panzi.....
Hapo tu , hilo halifanyiki ndo mana machungu kila konawanaelewa basi.... wangekuwa hivyo na kuelewa unyenyekevu si utumwa bali ni uweledi wa hali ya juu ktk mahusiano... na huo unyenyekevu ulindwe na mwanaume.....tungekuwa kwenye dunia salama kabisa....lazima wakubali kuwa,,,,, mwanaume atabaki kuwa mwanaume tuu.....same to KE.......
Natamani nipate mwanaume anayependa kunyenyekewa
You are warmly welcome brendavery nice message
HahahahaaaaTuwasiliane tuktane m xjaoa
Point nzuri sana hii,lakin jinsi Ulivyoandika hyo lugha.it seems like you are not matured .upendo n kuvumiliana ktk maisha ndoa muhm xana