Faida ya unyenyekevu katika ndoa na mahusiano kabla ya ndoa

Kilicho ondoa maana nzima ya mwanamke kuwa chini ya mwanaume ni kwakua wote ni watafutaji na mwanaume anaridhika.
Ndio hay ni mabadiliko tu maisha ya mwanadamu ila kulipinga hili ni sawa Umempinga Mungu maana biblia na vitabu vyote vya dini vinaeleza hili na kama unavyojua vitabu vya dini ndio muongozo mzuri wa Maisha yetu na kila kitu kiliandikwa humo kwa maana na kwa kuzarau mafundisho kama hayo sasa ndio tunaona matokeo mengi tofauti na mabaya kwenye ndoa zetu
 
Umeongea kweli mkuu
 
Hivyo hivyo vitabu vya dini vinasema mwanamke akae nyumbani na kutunza familia.

lkn huyo huyo mwanaume ndio anaanza kupinga na kumruhusu mwanamke afanye kazi.

Basi imebaki shagala bagala tu.
 
wanaelewa basi.... wangekuwa hivyo na kuelewa unyenyekevu si utumwa bali ni uweledi wa hali ya juu ktk mahusiano... na huo unyenyekevu ulindwe na mwanaume.....tungekuwa kwenye dunia salama kabisa....lazima wakubali kuwa,,,,, mwanaume atabaki kuwa mwanaume tuu.....same to KE.......
 
Hapo tu , hilo halifanyiki ndo mana machungu kila kona
 
Back
Top Bottom