kwa upande wangu sioni faida ya kusoma, nimetafuta kazi nimechoka sasa nimeamua kuanguka chini na kumlilia mungu inawezekana kuna dhambi kubwa sana nimetenda ambazo zinazuia mafanikio yangu, haiwezekani nimemaliza chuo 2010. nimetafuta kazi mpaka nimechoka hakuna,nimejaribu kufungua ofisi hata mwaka sijamaliza nimeshindwa, maisha yamekua magum hakuna furaha ni kilio tu sasa kweli nimeamua kuomba toba kwa mungu tu. maana inawezekana kanipa kisogo kabisa na masikio kaweka pamba.