Faida ya kusoma

Faida ya kusoma

kwa upande wangu sioni faida ya kusoma, nimetafuta kazi nimechoka sasa nimeamua kuanguka chini na kumlilia mungu inawezekana kuna dhambi kubwa sana nimetenda ambazo zinazuia mafanikio yangu, haiwezekani nimemaliza chuo 2010. nimetafuta kazi mpaka nimechoka hakuna,nimejaribu kufungua ofisi hata mwaka sijamaliza nimeshindwa, maisha yamekua magum hakuna furaha ni kilio tu sasa kweli nimeamua kuomba toba kwa mungu tu. maana inawezekana kanipa kisogo kabisa na masikio kaweka pamba.
ndugu haya ni majanga unasema hakuna faida ya kusoma , basi inaonekana hata shule hukusoma ila ulihudhuria tu , kwani waliohudhuria shule ndiyo walivyo mategemeo wanaweka mbele lakini waliosoma wanajua ipo siku tu watapata na wanaongeza bidii hata ya kusoma magzeti
 
Asante. Najirekebisha. Nisamehe bure..au sio bro.
 
We sio kijana utakua. Mavi kabisa

1. Nashindwa kukuelewa unapochanganya jina la Mungu na kauli/maneno ya ajabu

2. JF ni sehem unapoweza kupata mchango wa mawazo au utatuzi wa tatizo lako moja kwa moja so mind your language na hao mabos wa kuwasaidia wapo humuhumu kwa lugha hii utamconvince kweli?

3. Nikupe pole na pia usichoke kupambana ukiona unakaribia kugive up ujue ndio neema imekaribia

4.Above all mwombe sana Mungu na kama ikiwezekana tenga kamda flan japo utumike mfano unaweza kufanya usafi pale kanisani siku moja moja (nitumikie na mimi nitakutumikia),funga na kuomba (Vitu vingine haviji mpk kwa kufunga na kuomba),Siku zote fanya sehemu yako kwa bidii halafu mwachie Mungu nae afanye sehem yake kikubwa Amini he wont let you down (Heri ni kwa yule aniaminie maana hatoaibika kamwe)

Sina tofauti kubwa sana na wewe lakini namshukuru Mungu kutokana na imani yangu kwake life is still going on and AM NOT WORRIED BUT AM CONCERNED

Choose not to be worried maana ndio mwanzo wa stress na kukata tamaa ila ukiwa concerned daily hutochoka kuisaka bingo
 
kwa upande wangu sioni faida ya kusoma, nimetafuta kazi nimechoka sasa nimeamua kuanguka chini na kumlilia mungu inawezekana kuna dhambi kubwa sana nimetenda ambazo zinazuia mafanikio yangu, haiwezekani nimemaliza chuo 2010. nimetafuta kazi mpaka nimechoka hakuna,nimejaribu kufungua ofisi hata mwaka sijamaliza nimeshindwa, maisha yamekua magum hakuna furaha ni kilio tu sasa kweli nimeamua kuomba toba kwa mungu tu. maana inawezekana kanipa kisogo kabisa na masikio kaweka pamba.

Dahh sijui kwanini tu niliposoma nimejikuta nacheka badala ya kukuhurumia. Pole sana ndugu yangu hayo ndio maisha kuna kila aina ya vikwazo na haupaswi kukata tamaa kiasi hicho.RIZIKI yako ipo tu somewhere itakuja....
 
mungu n mwema wakati wote, usikate tamaa mpendwa kadri shida zinapokusonga ndipo mafanikio yanakaribia,cha kufanya endelea kutafuta kazi au uwe mbunifu katika biashara na mungu atafungua njia
.
 
Ukweli hajamkebei mungu ila ameeleza hisia zake jamai,hata bahati bukuku aliimba kama mungu uko likizo naomba uanze kazi leo.
 
kwa upande wangu sioni faida ya kusoma, nimetafuta kazi nimechoka sasa nimeamua kuanguka chini na kumlilia mungu inawezekana kuna dhambi kubwa sana nimetenda ambazo zinazuia mafanikio yangu, haiwezekani nimemaliza chuo 2010. nimetafuta kazi mpaka nimechoka hakuna,nimejaribu kufungua ofisi hata mwaka sijamaliza nimeshindwa, maisha yamekua magum hakuna furaha ni kilio tu sasa kweli nimeamua kuomba toba kwa mungu tu. maana inawezekana kanipa kisogo kabisa na masikio kaweka pamba.

katika jina la yesu kristo wa nazareth aliye hai naamuru upate kazi kabla mwaka huu haujaisha!! sema amina kwa imani!
 
[QUOTE=jack»haiwezekani nimemaliza chuo 2010. nimetafuta kazi mpaka nimechoka.

Magbu ya maombi huchelewa wakat mwingne,unaweza kuendelea kusubr.
Pia labda MUNGU hatak kukupa ajira labda una kibur,majivuno nk.
m2 anapokuwa hana ajira anakuwa mpole,MUNGU huangalia moyo inaweza kuwa na mapungufu mengi ya kuwa na fedha/mali hvo MUNGU anajua ukizpata itakuwa balaa.
anyway muulize MUNGU akuoneshe mapungufu hayo na ukiisha yatambua gnyenyekeze na uyaache na umuahd kuish maisha matakatfu,hapo utafanikiwa.
Epukana na uovu.
Kama utahtag msaada wa maombi ntafute,pia u2julishe umesomea nin-CV,uzoef ili tukuangalizie ajira.
kila laheri.
 
Watu wangu wanapotea kwa Kukosa Maarifa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom