Faida ya kula Bamia

Bamia pia ni dawa nzuri kwa wenye vidonda vya tumbo au gesi kujaa tumboni, katakata, chemsha kidogo lisiive kunywa chap au blend na maziwa kunywa (kama roho ndogo huwezi hii), wengine huzila mbichi kama snack
 
mkuu zile Laza na limao.kunywa kama maji zikitoka pika yale maji hata hauna nyege zinakuja automatic na nguvu za nanii weka na karafuu ye.maji acha masaa mawili njoo nipen ushuhuda
 
Asante mkuu! ila ungeweka na madhara yake ingependeza.
 
m toka January maji yangu

HHata nionje ile kitu iligeuzwa maji kuwaa....
Lazima asbh ninywe na jion mapema
 
Unablend na maziwa??
Yes yes, maziwa fresh glass moja unablend na bamia hata 5 hivi asubuhi kabla hujala chochote, siku za mwanzoni utasumbua sana huo mchanganyiko kushuka kooni ila ukizoea na ukaweka huo uratatibu kwa miezi miwili unapata nafuu kubwa au kupona kabisa.
 
Shukran mkuu nitajaribu Roho ngumu ninayo
 
Ongeza;Husaidia na kulegea na kushindwa bila shuruti kwa akina bibie!
 
Hapanaa huuhuu mkuu kwa kuanzia weka

karafuu l chukua mkono umejaa weka kwa dumu ..kama una bamia unachanganya Ltr5 ikae sikutatu tunywe hayo maji kama maji yakunywa inasaidia mengi sana
 
Hapanaa huuhuu mkuu kwa kuanzia weka

karafuu l chukua mkono umejaa weka kwa dumu ..kama una bamia unachanganya Ltr5 ikae sikutatu tunywe hayo maji kama maji yakunywa inasaidia mengi sana
Hayawezi yakaharbika?? Kwa hizo siku zote
 
Sijasoma uzi ila kama haiongezi nguvu za kiume basi hiyo haifai kwa mwanaume.

tuwaachie wanawake tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…